Mtu wa ajabu! Anajiita "Dk" lakini hana mantiki. Mara anasema imani yake ni "yesu aliyekufa msalabani na kufufuka", mara nasema imani yake ni "hatuchanji, hatujajanja, hatutachanja"? Ipi sasa? Au ana miungi miwili? Kikkristo na kupinga chanjo?
Halafu ni dhahiri hasemi ukweli. Bila shaka yeye amechanjwa, na wengi wa kundi lake wamechanjwa.
Si Covid, lakini chanjo hizo zote nyingine.
Ambazo zinaonekana haelewi chochote jinsi zinavyomkinga.
(Kama angeelewa punje asingesema anachosema)
(Uaskofu wake ni wa kujipachia, Dk wake ni wa kununua - angalia alipopata - wanatoa kuanzia dola 2000)