Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

Mtu wa ajabu! Anajiita "Dk" lakini hana mantiki. Mara anasema imani yake ni "yesu aliyekufa msalabani na kufufuka", mara nasema imani yake ni "hatuchanji, hatujajanja, hatutachanja"? Ipi sasa? Au ana miungi miwili? Kikkristo na kupinga chanjo?

Halafu ni dhahiri hasemi ukweli. Bila shaka yeye amechanjwa, na wengi wa kundi lake wamechanjwa.
Si Covid, lakini chanjo hizo zote nyingine.
Ambazo zinaonekana haelewi chochote jinsi zinavyomkinga.

(Kama angeelewa punje asingesema anachosema)

(Uaskofu wake ni wa kujipachia, Dk wake ni wa kununua - angalia alipopata - wanatoa kuanzia dola 2000)
Kisokorokwinyo kinawatesa wengi Sana. Mtaelewa tuu soon
 
"Sisi tumechagua hatuchanji".....

Hili neno "SISI"....

Kumbe mtanzania ANAPOKUWA kanisani ama msikitini ,URAIA WAKE unakoma....

Hapo juu nimemuelewa vyema ASKOFU GWAJIMA kwa kuufanya msimamo wake(binafsi) kuwa ni msimamo wa WAUMINI WOTE wa makanisa ya ufufuo na uzima......

CCM na VIONGOZI wake wajitafakari siku za usoni.....

Kila litokealo huwa ni funzo.....

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaSocialistParty
#SiempreJMT

#KaziIendelee
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Hashtag CCM IMFUKUZE GWAJIMA.....

GWAJIMA afukuzwe CCM......

#SiempreJMT
NILETEENI GWAJIMA, NILETEENI GWAJIMA, NILETEENI GWAJIMA....!
Maneno yake marehemu JPM 2020....Je, aliona nini ndani ya Gwajiboy?
Halafu wewe unasema afukuzwe kirahisi tu....!!
 
Kamatilia hapo hapo gwajiman, endelea kupiga upper cuts, kwa nondo hizi yule anayewachukia wasomi nguli atakuwa anakaribia kujinyonga....
 
Gwajima alisimikwa na nani uasikofu.Ufufuo na uzima alimfufua nani.Fukuza huyo ubunge aendelee na polojo zake kanisani
 
Gwajiboy popote ulipo vimba mpaka wanaokuchukia wafe, kama Maza kakukubali baada ya kazi nzuri iliyofanya kuwapa akili wapiga kura wako kuikacha chanjo ni nani tena wa kukugusa nchi hii? Gwajiboy kanyagia hapo hapo Askofu na popote ulipo kama kuna pisi kali ya kiwango chako chukua nakuja ku clear bill yako mwanangu.
 
Back
Top Bottom