PreGE2025 Askofu Gwajima karibu Chaumma kiti chako kipo empty kinakungoja!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa!

MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa CCM ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka ndani Lissu bila hatia,

Wana CHAUMMA, Tunaimani utakapotua, utapata uwanja mpana zaidi wa kutoa madukuduku yako juu ya jinsi gani tumkabili NZI WA KIJANI

#Aluta_continua, wanatuita CCM, lakini ni upuuzi tu unawasumbua, sisi ni simba wa vita tumekuja kupigana na kushinda!
FB_IMG_17485156403936069.jpg
 
Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa!
MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa ccm ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka ndani lissu bila hatia, Wana CHAUMMA, Tunaimani utakapotua, utapata uwanja mpana zaidi wa kutoa madukuduku yako juu ya jinsi gani tumkabili NZI WA KIJANI
#ALUTA_CONTINUA, WANATUITA CCM B, LAKINI NI UPUUZI TU UNAWASUMBUA, SISI NI SIMBA WA VITA TUMEKUJA KUPIGANA NA KUSHINDA!
View attachment 3352069
Hawezi kuja kwenye chama cha majinga majinga
 
Gwajima ni mchumia tumbo CHAUMMA mkataeni
 
Gwajima naye ghafla mnamgeuza mchumia tumbo, chadema akili zenu ni mbovu sana sana, mtu mpaka ccm wamemnanga waziwazi kwa kejeli,
Karibuni 3rd June, Mwanza,at FURAHISHA STADIUM
FB_IMG_17487030937149650.jpg
 
Back
Top Bottom