Mkuu Gwajima kwanza siasa aliingia bila kupenda .Either alikuwa anatumia na kazi yake imeisha au kibano kimefanya kazi yake.
Either alikuwa anatumika na kazi yake imeisha au kibano kimefanya kazi yake.
Au yote mawili kwa pamojaEither alikuwa anatumika na kazi yake imeisha au kibano kimefanya kazi yake.
Huyu msukuma kaambiwa sio raia lini?Ndio walioingia mji wa siasa na viwembe, hawakujua wenye shoka wanawatazama tu!
Na mwenzake msukuma aliingia na maneno kibao kupinga kuondolewa machinga, katupiwa bomu kuwa si raia wa Tz naye kaufyata.
Baba yake ni Mrundi, si raia.Huyu msukuma kaambiwa sio raia lini?
Kumbe msukuma kapigwa na kitu kizito kichwaniBaba yake ni Mrundi, si raia.
Kama katiba ingebadilishwa watu kama Joseph Msukuma wasingepata Ubunge
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa. Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika upatikanaji wa katiba mpya. Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku Musukuma asingeweza kabisa kutamba kama...www.jamiiforums.com