Askofu Gwajima kaufyata?

Askofu Gwajima kaufyata?

Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu.
 
Either alikuwa anatumika na kazi yake imeisha au kibano kimefanya kazi yake.
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu
 
Rashid Gwajima Ama Gwajima Boy Tayari Ccm Imemkalisha Kwenye Corner Mbaya

Muda Wowote Atatupwa Kama Bible Isemavyo "Yatatupwa Makapi"
 
Uchungaji na kuwa mwanasiasa havitangamani. Huenda aliambiwa achague moja or else. Kaamua yaishe.
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Hivi unaandika nini

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu
Aiseeee! U're well informed my brother! Congratulations to you.
 
na alisemà doroth gwajima na mollel wasipojiuzuru atazidi kuwafyatua hatanyamaza, sasa tunashangaa mbn kanyamaza na wao bado wanadunda
Afanye kama anajikuna popote alipo, tujue Nini kimemsibu.
 
Aiseeee! U're well informed my brother! Congratulations to you.
Mkuu Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna mwingine.

Kupata kwa Taarifa za ndani ( ngumu ) kabisa ( za Sekta mbalimbali za Siasa, Kijamii, Ulinzi, Usalama na Michezo ) Kwangu Mimi ni rahisi kama vile Israeli anavyoondoka na Roho ya Binadamu au Yanga SC inavyoifunga Simba SC.
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Risasi ya mwisho imekuwa butu
 
Back
Top Bottom