Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Nikiona neno Emu naona demu wanguKwenye ule mchezo wa chess, mtu huwa anajiharibia gem lote kwa kukosea move moja tu.
Emu ngoja tungoje!
Chura Kiziwi muoga wa ushindani hatamfanya lolote mpaka 'uchafuzi' upite kwanza.Good morning wadanganyika,
Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.
Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.
Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...
Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.
Siku njema.
MAma samia hashindwi kunywa damu ya gwajima, kwa sasa yule maza ameshakuwa vampireChura Kiziwi muoga wa ushindani hatamfanya lolote mpaka 'uchafuzi' upite kwanza.
Hatusikilizi porojo zozote yaani wimbo ni mmoja tu if no reform no election kabisa ⚒️ 💯Good morning wadanganyika,
Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.
Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.
Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...
Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.
Siku njema.
Ni watu hatari saana kwa ustawi wa nchiSio tetesi huu ndio ukweli. CCM ni mabingwa wa siasa za maigizo ( siasa za jukwaa). Mabingwa wa fitna na mabingwa wa tamthilia (Mchezo wa jukwaa). Atatua upinzani, baada ya uchaguzi atarudi zake CCM, pazia la mchezo linafungwa.
Walikuwa wanamuandaa Mpina kwa mchezo huu, lakini naona sijui wameonaje. CCM ni washenzi wa tabia sio kidogo. 😁
Ndo mwelekeo huoLabda akagombee Chauma
Ili plan yao ifeli??Chura Kiziwi muoga wa ushindani hatamfanya lolote mpaka 'uchafuzi' upite kwanza.
Huyu hapa ashajaaaa..... Walete waleteeeeeAnafaa kuwa raisi, kwanza yeye tayari ni tajiri, hatadokoa. Atapambana na rushwa na ufisadi.
Mkuu, shurrup! Jikite kwenye mada, wee chizi!Nikiona neno Emu naona demu wangu
Hahahahahahahahahahaha kabisaMAma samia hashindwi kunywa damu ya gwajima, kwa sasa yule maza ameshakuwa vampire
Confuser and confusees in confusion. Umeandika atakaza fuvu...halafu mwishoni unadai umetusanua what is going on behind the scripts. Je, tayari ameshakaza hilo fuvu au atakaza?Good morning wadanganyika,
Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.
Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.
Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...
Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.
Siku njema.
Umekali kitu au akili timamu ngwajima tajiri wa nn au kwenù ukimiliki kanisa ndio element ya utajiriAnafaa kuwa raisi, kwanza yeye tayari ni tajiri, hatadokoa. Atapambana na rushwa na ufisadi.