Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

Huko nyuma gwajima aliteleza, kwa hoja aliyoitoa amesimama na nchi yetu vyema.Sisi ni watanzania nje ya yote...uhai wa watanzania wenzetu ni jambo la msingi
 
Yes ni kweli kabisa hoja yetu ni dhamira yake tuu
 
Sio tetesi huu ndio ukweli. CCM ni mabingwa wa siasa za maigizo ( siasa za jukwaa). Mabingwa wa fitna na mabingwa wa tamthilia (Mchezo wa jukwaa). Atatua upinzani, baada ya uchaguzi atarudi zake CCM, pazia la mchezo linafungwa.

Walikuwa wanamuandaa Mpina kwa mchezo huu, lakini naona sijui wameonaje. CCM ni washenzi wa tabia sio kidogo. 😁
Mchezo mtamu ulikuwa 2015, mpaka Wakurya wakadeki barabara. Wakirudia tena haitakuwa na msisimko wowote
 
Good morning wadanganyika,

Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.

Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.

Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...

Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.

Siku njema.
agomee urais kwa chama kipi sasa? hakuna chama kilichobaki anachoweza kwenda.
 
Good morning wadanganyika,

Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.

Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.

Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...

Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.

Siku njema.
Atakuwa rais wa misukule,
 
Back
Top Bottom