Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

Chai
 
Naona gwajima amekuwa DILI la kuwoangezea thx humu EMBU mwachieni ma uncle pls

Fanyeni YENU
 
Confuser and confusees in confusion. Umeandika atakaza fuvu...halafu mwishoni unadai umetusanua what is going on behind the scripts. Je, tayari ameshakaza hilo fuvu au atakaza?
Atakaza ili afutwe soma taratibu mboga mboga
 
Ninachoomini mimi watu karba ya Gwajima ni wanaharakati, mara nyingi watu kama hawa vyama vya siasa huwa sio kipaumbele huwa wanatafuta jukwaa lolote la kufikisha ujumbe wao.
 
Ninachoomini mimi watu karba ya Gwajima ni wanaharakati, mara nyingi watu kama hawa vyama vya siasa huwa sio kipaumbele huwa wanatafuta jukwaa lolote la kufikisha ujumbe wao.
Kwa maneno mengine, Askofu Gwajima kuingia kwenye siasa chamani ni sawa na tembo kujisokomeza kwenye kijichupa cha pepsi - thirsty4more?
 
Gwajima anaungwa mkono na wananchi na nyota yake itawaka sana siku zijazo...ana back kubwa sana ya sytem ni dhahiri atamsumbua sana kama akigombea uraisi.
 
Gwajima anaungwa mkono na wananchi na nyota yake itawaka sana siku zijazo...ana back kubwa sana ya sytem ni dhahiri atamsumbua sana kama akigombea uraisi.
Gwaji boi ni system huo utakua ni mchezo tuu kuipaisha chauma
 
Watakuja kustuka kushakucha Czcm sio wanjinga kama watu wanavyofikiria huu ni mpango unapangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…