Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NitakuwepoAskofu Gwajima atangaza Ibada ya Jumapili itaanza saa 4 Asubuhi
Acha upumbavu wewe mbeba boksi wa ujerumanRais wangu mtukufu Samia naomba utume askari wako watiifu wakapambane na Hawa makafiri ambao hawataki kufata sheria
Rais wangu mtukufu Samia naomba utume askari wako watiifu wakapambane na Hawa makafiri ambao hawataki kufata sheria
Kwa nini unashangaa ?kwani dini zinging hazina majimbo makuu?Jimbo kuu tena? 🐼😁
Huyu ni mwoga kama Kunguru! Mwoga hakuna cha Nguvu ya Yesu wala babu yake na Yesu. Ila namshukuru kwa ujasiri wa press yake .Wakuu!
Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi
Pia, Soma
Barua original Gwajima alikataa kupokea hiyo ya wakili Kibatala ni feki haina hata sahihiWakuu!
Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi
Pia, Soma
Kwani yupo?Wakuu!