Ivi nimimi tu kuwa sijawai kumuona Askofu Gwajima akivaa mavazi rasmi ya kia Askofu ???Wakuu!
Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi
Pia, Soma