Askofu Gwajima kuongoza Ibada ya Jumapili Juni 15, itafanyika Jimbo Kuu Dar Saa 4 Asubuhi

Ivi nimimi tu kuwa sijawai kumuona Askofu Gwajima akivaa mavazi rasmi ya kia Askofu ???
 
Ataliamsha dude?

Nitakaa siyo ya mbele kabisa nikimsikiliza jasusi la mbinguni.
 
Hili ni tangazo rasmi kutoka katika mitandao ya kijamii ya Askofu Josephat Gwajima.
Wapendwa katika Bwana tukutane kanisani tusifu na kuabudu hakika Mwenyezi Mungu anaenda kutenda Makuu katika Taifa lake🇹🇿
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…