Tayari nimesha tune mkuu😀
Mbona ni user wa Jamiiforums hiyo rudisha?
Mbona ni user wa Jamiiforums hiyo rudisha?
Mnamchochea Gwajima ajione Mwamba, sawa. Lakini mmesahau mlimchochoea Lissu, yupo ndani. Mlimchochea Mdudu, hajulikani alipo. Kwahiyo, ninyi mnawachochea wengine ninyi mpo chini ya uvungu na majina bandia!Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣
Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Dola likianza kumtia madole msilalamikeKesho kanisa litafurika....
Unakaribishwa pia.... Hakuna mtu anaechochea bali tunaenda kusikiliza neno la MunguMnamchochea Gwajima ajione Mwamba, sawa. Lakini mmesahau mlimchochoea Lissu, yupo ndani. Mlimchochea Mdudu, hajulikani alipo. Kwahiyo, ninyi mnawachochea wengine ninyi mpo chini ya uvungu na majina bandia!
Wanaokubali ujinga huu wa kuamini kuna watu nyuma yao ni wajinga sana na wapumbavu na wanastahili kupata kitakachowapata!
Simshauri azungumzie hilo suala alilotamka Rais. Yeye ahubiri Neno la Mungu. Asubiri pale watakapomtupa ajiunge upande wa pili ndipo azungumze. Kwa sasa atulie tu!Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣
Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Ni injili pekee ndio itakayohubiliwa unakarishwa sana mkuuMaKanisa = Nyumba za mipasho
Mtoe na sadaka ya kujimaliza, msilete Samianization kwenye Kumtolea Bwana.Kesho kanisa litafurika....
🤣Kesho mchungaji wangu anisamehe sadaka yangu anakula Gwaj. Nitakuwa front seatHuku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣
Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Wanafiki wakubwa, wanachukua habari wanaacha kuzitangaza wanazipeleka kwenye MagogoUnaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche
All the best. Naamini ningelikuwa mimi nina mamlaka, akisema chochote kibaya kwa Serikali au Rais, namkamata mbele yenu "waumini wake". Namkata makofi. Nafunga Kanisa lake milele labda alipeleke Kenya.Unakaribishwa pia.... Hakuna mtu anaechochea bali tunaenda kusikiliza neno la Mungu
Kazi kwa kina Mwashamba,Tlatlah,Choice&co kuizuia radhi,wakishindwa mshahara unakatwa rasmi kwani mmeshayumba boss hawaelewi tena!Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.