and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
nani kasema mi ni UVCCM?UVCCM nendeni mkamvamie Gwajima!
nani kasema mi ni UVCCM?UVCCM nendeni mkamvamie Gwajima!
Majeshi! Majeshi! Ya BWANA yanatikisa hukoooo...Sijui na mimi niende 😋
Jamaa kishaanza kutema cheche huko🤣Hii siku ya leo ni njito sana WHITEHAUZI!
Mimi nipo bench la katikati hapaNiko siti ya mbele kabisa narekodi mpk vicheko vya waimba kwaya. Namsuburia rais ajaye avurumshe makombora kwenda kwa rais wa mchongo aliyekalia kiti cha marehemu na hana uwezo wa kugombea tena.
Acheni kumjaza huyu jamaa upepo wazee.Watu wanalinda madaraka yao wako tayari kwa lolote atapotea.Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo.
Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣
Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Mbinu wanazotumia hatufurahishwi nazo, mambo ya kuua watu ili ubaki madarakani ni laana kwa nchi yetuAcheni kumjaza huyu jamaa upepo wazee.Watu wanalinda madaraka yao wako tayari kwa lolote atapotea.
Shalom, ukitaka kuniona ni pale kwenye ugali wa muhogo na nyama choma ya kichuri, ndio naelekea hapo.Matola salamaleko, umeadimika 😁
Gwajima anahubiri upendo na haki, pia anaonya dhuruma wanayofanyiwa wengine ndio maana watawala wanachukia hayo mafundisho ambayo hata Bwana Yesu Kristo alituasaMahubiri ya Yesu ni ya kuhubiri habari njena za Yesu aokoaye
Hayo Mahubiri ya Gwajima ya kukemea Polisi,serikali nk yamewaleta watu wangapi kwa Kristo kuokoka?
🙏🙏🙏Kaamua kupambana, Mungu amtunze
Ikulu inaweweseka na G-Boy😀Nipo siti namba one nasubiri kitu kizito chenye ncha kali kishuke
Apotelee wapi,ameshasema yeye hafi,watahangaika sanaAcheni kumjaza huyu jamaa upepo wazee.Watu wanalinda madaraka yao wako tayari kwa lolote atapotea.
Rais ni taasisi watamshughulikia watu hata hajawahi kuwaona.Inategemea na raisi mwenyewe,kama hana akili unamjibu kulingana na akili yake
Radi kama radi
Sijui kwanini unanitus mieHapo umebinuka unakuna pummbu tu