Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Hana jipya
 
Ahahahahaha! Lissu yupo ndani aliyekuwa anadai anakubalika mpaka na Wazungu na mpaka leo HAKUNA mbwa yeyote ukiwemo wewe ambaye ameishamsaidia. Amebaki yeye na mtondoo, mtondoo na yeye! Nyambafu!!
Tuupe muda muda.
Usinene ukamala.
 
Wakipatikana Gwajima 10 kutoka tawala kuna hatua tutasogea kidogo
 
Mnamchochea Gwajima ajione Mwamba, sawa. Lakini mmesahau mlimchochoea Lissu, yupo ndani. Mlimchochea Mdudu, hajulikani alipo. Kwahiyo, ninyi mnawachochea wengine ninyi mpo chini ya uvungu na majina bandia!

Wanaokubali ujinga huu wa kuamini kuna watu nyuma yao ni wajinga sana na wapumbavu na wanastahili kupata kitakachowapata!
Huyo hawamchochei sema wakijaribu kumgusa..................kama yule wa katoliki ndio basi ule unabiii wa shekh yahaya unaenda kutimia lasmi.......ngoja wajichanganye watajua kwanini majini na waganga blue sio rangi yao
 
labda ashushe ushuzi

watanzania tusikubali dini kutumika kisiasa twende na mama awamu ijayo
 
Ahahahahaha! Lissu yupo ndani aliyekuwa anadai anakubalika mpaka na Wazungu na mpaka leo HAKUNA mbwa yeyote ukiwemo wewe ambaye ameishamsaidia. Amebaki yeye na mtondoo, mtondoo na yeye! Nyambafu!!
Watu mna hasira,dah! ila kwa bahati mbaya mwaka huu Mungu anapasua chungu kama wale wamasai😀
 
Ni kweli Lisu yupo ndani ila mtandao X imebidi ufungiwe
hilo wewe unaliona ni dogo? vuka uwakamate na wakenya.
 
Huyo hawamchochei sema wakijaribu kumgusa..................kama yule wa katoliki ndio basi ule unabiii wa shekh yahaya unaenda kutimia lasmi.......ngoja wajichanganye watajua kwanini majini na waganga blue sio rangi yao
Gwaji-boy ana balaa zito😀
 
Huyo hawamchochei sema wakijaribu kumgusa..................kama yule wa katoliki ndio basi ule unabiii wa shekh yahaya unaenda kutimia lasmi.......ngoja wajichanganye watajua kwanini majini na waganga blue sio rangi yao
Labda nikwambie kwa kifupi tu, "Gwajima is just a bug. It can be neutralized by just a finger"!
 
Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.

Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Mjinga anaacha kuhubiri Kristo anahubiri radi au watu au CCM
.tapeli mkubwa

Kanisani ni sehemu ya kumhubiri Kristo sio watu wawe polisi au CCM

Pili Biblia inatamka wazi uovu usitajwe kwenu Kanisani ni sehemu ya kuongelea wema wa Mungu na Yesu sio sehemu ya kuongelea uovu wa CCM, polisi ,au shetani ndio maana Yesu aliagiza kuhubiri habari njema za Yesu aokoaye na kuponya sio za CCM au Chadema au za No reform no election au za katiba mpya au habari za serikali

Hayo sio mahubiri ya kanisani

Muumini yeyote wa kanisa la Gwajima akihubiri hayo hama kanisa katafute kanisa lingine lolote .Mwachieni mijengo yake hata kama mlichangia ujenzi

Ondokeni kimya kimya wala msiage Mtu akiwauliza kwa nini mnahama mwambieni nilikuja hapa kwa hiari naondoka kwa hiari

Katiba ya nchi inanipa uhuru wa kuabudu popote
 
Back
Top Bottom