Kama mfumo ndiyo unaruhusu haya... waandishi wa habari watatoka na cha kuandika. Lakini, kama si mfumo mjue wahariri wa vyombo vya habari watafura!Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Anakua kama Gwajima mkuuMwanaume kamili anakuwaje?
Kwa kweli!!Asije akatolewa macho baba wa watu.......huu utawala ni shida
Wewe mbona utiwa mibolo hakuna anayelalamikaDola likianza kumtia madole msilalamike
Malizia hapo sema weziUnfortunately, he has so much to lose. Hawezi kushindana na CCM.
Saizi basi kuna mifumo mkuu.... Ni uozo kila sehemuKama mfumo ndiyo unaruhusu haya... waandishi wa habari watatoka na cha kuandika. Lakini, kama si mfumo mjue wahariri wa vyombo vya habari watafura!
All the best. Naamini ningelikuwa mimi nina mamlaka, akisema chochote kibaya kwa Serikali au Rais, namkamata mbele yenu "waumini wake". Namkata makofi. Nafunga Kanisa lake milele labda alipeleke Kenya.
Na wewe na waumini wenzako hamtafanya chochote zaidi ya kuloloma mitandaoni.e
Nabii Lema amesema neno moja tuu nalo ni ''Kama Mungu aishivyo...."Mnamchochea Gwajima ajione Mwamba, sawa. Lakini mmesahau mlimchochoea Lissu, yupo ndani. Mlimchochea Mdudu, hajulikani alipo. Kwahiyo, ninyi mnawachochea wengine ninyi mpo chini ya uvungu na majina bandia!
Wanaokubali ujinga huu wa kuamini kuna watu nyuma yao ni wajinga sana na wapumbavu na wanastahili kupata kitakachowapata!
Ni vigumu sana kuwa na msimamo kama una vitu vya kupoteza. Ni vigumu sana.Only if you kill him, ni Mungu pekee ndie hawezi shindana nae mengine ni sikitu ikiwemo na huo uchafu CCM
Watu tumesha sasklaibu ,😂Tayari nimesha tune mkuu😀
Kesho Mungu asaidie tu mkuu jeshi wasiweke kambi hapo ...😂 ManaHuyu Mama kuambiwa ukweli kwake unakuwa ni ugomvi.
OkWewe mbona utiwa mibolo hakuna anayelalamika
Madam mbona umelipua bomu kubwa ivo 😁Dola likianza kumtia madole msilalamike
Nasikia wana mpango wa KUMBAMBIKIA kesi ya uhaini.Kesho Mungu asaidie tu mkuu jeshi wasiweke kambi hapo ...😂 Mana
Kawa mwoga misili ya ngiri🤣Huyu Mama kuambiwa ukweli kwake unakuwa ni ugomvi.