johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halima safari imewadia!Kawe ni ya kamanda Halima Mdee, na Halima Mdee ndo kawe ..Gwajiboy hana chake pale
Yes, ya kwenda bungeni kwa mara ya 4Halima safari imewadia!
Hahahaaaa...... hahahaaaa....... ya kurudi upareni akatoe legal aid!Yes, ya kwenda bungeni kwa mara ya 4
Huku bunju Mdee hajulikani kabisa. Wengi wanadhani ni Vanessa wa bongo fleva!Halima hata yeye mwenyewe moyoni mwake kama yuko mkweli wa nafsi yake anajua kabisa kuwa ameshachoka kitumikia wananchi wa jimbo la Kawe!...
Dodoma mjengoni ww ..yule mpare wa mjiniHahahaaaa...... hahahaaaa....... ya kurudi upareni akatoe legal aid!
Acha uongo bhana John ..Mdee anajulikana mpk huko kasanga sumbawanga sembuse hapo bunju ambapo anafanya mkutano kila leo?? Waulize hapo boda boda bunju mwisho Kama sio uongo n nnHuku bunju Mdee hajulikani kabisa..... Wengi wanadhani ni Vanessa wa bongo fleva!
Hana ubavu huoWacha Mwamba Gwajima atuvushe wanaKawe!
Unakaa wapi kwanza jimbo la kaweHalima Mdee hakuwahi kuonekana jimboni kwa wananchi kipindi chote cha miaka 5 mara baada ya uchaguzi,imagine [emoji87]...
Bunju wanamjua Rita Mlaki hadi leo!Acha uongo bhana John ..Mdee anajulikana mpk huko kasanga sumbawanga sembuse hapo bunju ambapo anafanya mkutano kila leo?? Waulize hapo boda boda bunju mwisho Kama sio uongo n nn
Hapiti hata kwa dawaNi jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha wananchi wa Kawe...