Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawawezi kwasababu sasa hivi.. Nchimbi ni Rais na Samia ni Rais... Jk anakula popcorn 🍿Kesho wanaamka na wewe Jasusi.
😅
The devil is in the detailsLicha ya hilo, kurejea kwake kanisani hakukuripotiwa kuwa na hatari yoyote kwa usalama wake, tukio lililozua mjadala mpana wa kisiasa na kijamii.
Hapo waingie Kwa tahadhari.wata kufaWe muache afurahishe Genge tu hapo watekaji hawana aibu, watamteka na kusema wanachunguza tukio hilo kwa kina.
Ni lini Gwajiboy kawahi kulamba matako ya watawala? Jamaa ana jiamini sana sana hata press zake zote haipo hata moja aliongea kwa kuomba zaidi aliwaambia fungeni makanisa milele ila utekaji No👎Unaweza kuta Gwajima kashaingizwa kwenye mfumo wa maridhiano yao, maana sio kwa hii confidence yake.
Kajipanga, anajua wapo ila hawatomgusaAkitoka hapo wanae
Wakuu,
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya tangu lilipofungwa Juni 2, 2025.
Katika mahubiri yake, amegusia changamoto walizokabiliana nazo waumini wake na kusema: "Magumu yaliyokupata wewe ni kwasababu mimi nilikataa utekaji, mpaka leo nakataa vilevile."
Gwajima alifungiwa kanisa baada ya kuhusishwa na kauli za kukosoa matukio ya utekaji, huku Jeshi la Polisi likiwahi kutoa wito wa kumtaka afike kituoni kwa mahojiano kuhusu tuhuma mbalimbali.
Licha ya hilo, kurejea kwake kanisani hakukuripotiwa kuwa na hatari yoyote kwa usalama wake, tukio lililozua mjadala mpana wa kisiasa na kijamii.