GE2025 Askofu Gwajima: Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo

GE2025 Askofu Gwajima: Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji wakusikie nimuhimu sana kusikia kilio cha wananchi.

Aidha Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo. Amesema Askofu Gwajima. Gwajima ameyasema hayo Oktoba 26, 2025

Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

IMG-20251021-WA0037.jpg
 
Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji wakusikie nimuhimu sana kusikia kilio cha wananchi.

Aidha Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo. Amesema Askofu Gwajima
Sijamsikia siku nyingi huyu mtumishi wa Mungu. Haya maneno kayasema akiwa wapi ndugu? Ungetusaidia kutuwekea ka video clip ili na wengine tupate nafasi ya kumsikia
 
Siku zijazo tena?
Kwamba sasa hakuna mgawanyiko?
 
Video #1

View: https://youtu.be/twy9ahsTVXc?si=ezHopVYVpnMHADQr
Askofu Gwajima alisema kuonya hili kwa CCM mapema kusema👇🏻;
"....CCM kama hamtasikiliza hili na kulitenda, basi jiandaeni kulia kilio kikuu cha kusaga meno na ili mpate kupona ni mpaka mtakapokuja kunitafuta mimi tena nitangue Neno hili...", Asema BWANA wa Majeshi​

Video #2

View: https://www.youtube.com/live/o5JTOmMAMmk?si=9CbESyxNRB3Nwa-a

Main point in summary"
".......Hebu fikirI. Kwamba, kiongozi wa umma unaishi kwenye nyumba (mansion) nzuri, imezungushiwa ukuta mrefu, nyaya za umeme na mbwa wakubwa na wakali wakilinda, Polisi Jeshi na hata CCTV Cameras na kila aina ya ulinzi. Ndani una kila kitu, watoto wako wanakula chochote watakacho na kusaza na kutupa kingine jalalani. Mbaya zaidi ni kuwa, watu wanajua na kutambua fika kuwa maisha hayo ya anasa unayoishi, hayajatokana na juhudi ya kazi zako za mikono ambazo Mungu kakubariki na kukupatia maisha hayo ya anasa bali umejipatia maisha hayo ya anasa kwa njia za ujanja ujanja wa kuwaibia wananchi hawa masikini kwa njia kubandikia matozo na kodi lukuki na njia za wizi mwingine mbalimbali. Kilicho kibaya ni kuwa huko nje, wewe kiongozi wa umma umezungukwa na watu masikini, wasio na uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa siku na wanalalamika na kuishutumu serikali na viongozi wake kuwa haiwajali na inawakandamiza. Hawa watu ipo siku uvumilivu utawashinda na kufikia mwisho. Watajipanga 10,000 na kuja kwenye nyumba zenu, wataruka hizo kuta za umeme. Jeshi au polisi watawapiga na kuwaua 50 au 100 lakini 9,000 wataingia ndani na kukukamata na kuchinja mmoja baada ya mwingine wakuchinja wewe Rais au waziri, watoto wako na kuharibu au kukunyang'anya na kuchukua kila ulichonacho........"
​
Maneno ya unabii huo 👆🏻👆🏻wa Askofu Josephat Gwajima, yameanza kutimia hatua moja kuelekea kwenye utimilifu kamili tangu kuanzia tarehe 29/10/2025 na itaendelea

Ama kweli, mwanamke mjinga na mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!!
 
Video #1

View: https://youtu.be/twy9ahsTVXc?si=ezHopVYVpnMHADQr
Askofu Gwajima alisema kuonya hili kwa CCM mapema kusema👇🏻;
"....CCM kama hamtasikiliza hili na kulitenda, basi jiandaeni kulia kilio kikuu cha kusaga meno na ili mpate kupona ni mpaka mtakapokuja kunitafuta mimi tena nitangue Neno hili...", Asema BWANA wa Majeshi​

Video #2

View: https://www.youtube.com/live/o5JTOmMAMmk?si=9CbESyxNRB3Nwa-a

Main point in summary"
".......Hebu fikirI. Kwamba, kiongozi wa umma unaishi kwenye nyumba (mansion) nzuri, imezungushiwa ukuta mrefu, nyaya za umeme na mbwa wakubwa na wakali wakilinda, CCTV Camera n...a kila aina ya ulinzi. Ndani una kila kitu, watoto wako wanakula chochote watakacho na kusaza na kutupa kingine jalalani. Mbaya zaidi ni kuwa, watu wanajua na kutambua fika kuwa maisha hayo ya anasa unayoishi, hayajatokana na juhudi yako ya kazi za mikono yako na kisha Mungu akakubariki bali umejipatia maisha hayo ya anasa kwa njia za ujanja ujanja, kuibia na wananchi kwa njia mbalimbali. Kilicho kibaya ni kuwa huko nje, wewe kiongozI umezungukwa na watu masikini, wasio na uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa siku na wanalalamika na kuishutumu serikali na viongozi wake kuwa haiwajali na inawakandamiza. Hawa watu ipo siku watajipanga 10,000 na kuja nyumbani kwako na kuruka ukuta. Utawapiga na kuwaua 50 au 100 lakini 900 wataingia ndani na kukukamata na kukuchinja wewe, watoto wako na kuharibu au kukunyang'anya na kuchukua kila Hulichonacho........"​

Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.
 
Yaani hata maandishi yako yanaonyesha jinsi unavyoweweseka,nini kinakutatiza ndugu?
 
Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.
Kwa Sasa mnaishia kwenye hizi siku alizozisema Bishop GWAJIMA.

Tutawashughulikia tu
 
Ni kweli. Ila inabomolewa na chama cha akina gwajima na mazwazwa wenzake wanaojifanya sasa kuona mwanga wakati ndiyo waliochangia hali hii
CCM ilianza kuungua toka kipindi cha jk unakumbuka hata kuvaa sale za CCM ilikuwa ngumu sana jamaa aliamua kuita CCM ya Magufuli huyu nae akaicha iko maututi sasa inaenda kumfia yuleyule aliyeikabizi kwa Magufuli mimi ni mwana CCM tatizo la CCM ya sasa imekua Genge la watu flani mafia uliona siku ya Mlimani City siku ya kuchangia chama ulio zile sura hiki chama ni cha wafanyakazi na wakulima zile sura uliona zinaenda na ukulima sura za Mafia magenge hatari CCM ilishatoka kwenye Misingi yake
 
Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.
Utekaji mauaji kuwabambikia kesi chadema kumteka mdude vipo sasa angesemaje kwa magufuli? Mbona alikuwa akiliwasha Dude juu ya makonda na magufuli hakumsumbua , Gwajima kaongea ukweli na ccm wapo kinyume na ukweli
 
Back
Top Bottom