Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sijamsikia siku nyingi huyu mtumishi wa Mungu. Haya maneno kayasema akiwa wapi ndugu? Ungetusaidia kutuwekea ka video clip ili na wengine tupate nafasi ya kumsikiaUsipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji wakusikie nimuhimu sana kusikia kilio cha wananchi.
Aidha Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo. Amesema Askofu Gwajima
Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwadaVideo #1
View: https://youtu.be/twy9ahsTVXc?si=ezHopVYVpnMHADQrAskofu Gwajima alisema kuonya hili kwa CCM mapema kusema👇🏻;
"....CCM kama hamtasikiliza hili na kulitenda, basi jiandaeni kulia kilio kikuu cha kusaga meno na ili mpate kupona ni mpaka mtakapokuja kunitafuta mimi tena nitangue Neno hili...", Asema BWANA wa Majeshi
Video #2
View: https://www.youtube.com/live/o5JTOmMAMmk?si=9CbESyxNRB3Nwa-aMain point in summary"
".......Hebu fikirI. Kwamba, kiongozi wa umma unaishi kwenye nyumba (mansion) nzuri, imezungushiwa ukuta mrefu, nyaya za umeme na mbwa wakubwa na wakali wakilinda, CCTV Camera n...a kila aina ya ulinzi. Ndani una kila kitu, watoto wako wanakula chochote watakacho na kusaza na kutupa kingine jalalani. Mbaya zaidi ni kuwa, watu wanajua na kutambua fika kuwa maisha hayo ya anasa unayoishi, hayajatokana na juhudi yako ya kazi za mikono yako na kisha Mungu akakubariki bali umejipatia maisha hayo ya anasa kwa njia za ujanja ujanja, kuibia na wananchi kwa njia mbalimbali. Kilicho kibaya ni kuwa huko nje, wewe kiongozI umezungukwa na watu masikini, wasio na uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa siku na wanalalamika na kuishutumu serikali na viongozi wake kuwa haiwajali na inawakandamiza. Hawa watu ipo siku watajipanga 10,000 na kuja nyumbani kwako na kuruka ukuta. Utawapiga na kuwaua 50 au 100 lakini 900 wataingia ndani na kukukamata na kukuchinja wewe, watoto wako na kuharibu au kukunyang'anya na kuchukua kila Hulichonacho........"
Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.
Kwa Sasa mnaishia kwenye hizi siku alizozisema Bishop GWAJIMA.Huyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.
Kumbaff. Ushindwe kama alivyoshindwa huyo muungu wako gwajima maviii matupu nyote. Sasa, jiandae kutembelewa na wasiojulikana kijulikane.Kwa Sasa mnaishia kwenye hizi siku alizozisema Bishop GWAJIMA.
Tutawashughulikia tu
Siki zenu ndio hizi za Sasa, tutaelewana tuKumbaff. Ushindwe kama alivyoshindwa huyo muungu wako gwajima maviii matupu nyote. Sasa, jiandae kutembelewa na wasiojulikana kijulikane.
Msifike huku wote tunajenga nchi mojaKumbaff. Ushindwe kama alivyoshindwa huyo muungu wako gwajima maviii matupu nyote. Sasa, jiandae kutembelewa na wasiojulikana kijulikane.
Ni kweli. Ila inabomolewa na chama cha akina gwajima na mazwazwa wenzake wanaojifanya sasa kuona mwanga wakati ndiyo waliochangia hali hiiMsifike huku wote tunajenga nchi moja
CCM ilianza kuungua toka kipindi cha jk unakumbuka hata kuvaa sale za CCM ilikuwa ngumu sana jamaa aliamua kuita CCM ya Magufuli huyu nae akaicha iko maututi sasa inaenda kumfia yuleyule aliyeikabizi kwa Magufuli mimi ni mwana CCM tatizo la CCM ya sasa imekua Genge la watu flani mafia uliona siku ya Mlimani City siku ya kuchangia chama ulio zile sura hiki chama ni cha wafanyakazi na wakulima zile sura uliona zinaenda na ukulima sura za Mafia magenge hatari CCM ilishatoka kwenye Misingi yakeNi kweli. Ila inabomolewa na chama cha akina gwajima na mazwazwa wenzake wanaojifanya sasa kuona mwanga wakati ndiyo waliochangia hali hii
Utekaji mauaji kuwabambikia kesi chadema kumteka mdude vipo sasa angesemaje kwa magufuli? Mbona alikuwa akiliwasha Dude juu ya makonda na magufuli hakumsumbua , Gwajima kaongea ukweli na ccm wapo kinyume na ukweliHuyu tapeli wa kunuka tena mkabili wa Magufuli. Mbona hakuyasema haya wakati alipotupiwa tonge na Magufuli? Ni mbabaishaji, mchumia tumbo, tapeli na mnafiki wa kaiwada
. Apuuziwe mpuuzi huyu wa kunuka.