Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Katika jimbo gumu ni.la Kawe maana wananchi wana shida ya barabara maji.
Uharibifu wa njia baada ya utapeli wa.Brt kuanza na.kufumua barabara ili hali kazi inayofanyika ya ujenzi ikiwa na kiwango hafifu kisicho na.maono ya.upanuzi wa.njia ziwe lane nyingi.zaidi