Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Huyo mtu alieamua kwamba Gwajima ahojiwe alichukua uamuzi huo akiwa yuko "emotional".Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole Alitia NENO linalofanana na NENO la Askofu Gwajima .Cha Kushangaza Kaitwa Askofu Gwajima au Polepole Tunamkuta Chini ya Bakuli tunywe Kunza Mchuzi
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwani hilo kanisa lake liko ndani au nje ya Tanzania?Huyo mtu alieamua kwamba Gwajima ahojiwe alichukua uamuzi huo akiwa yuko "emotional".
Gwajima anaweza kui_outsmart kamati nzima.
Mtu yuko ndani ya Kanisa lake, anapiga kelele na Waumini wake wanazungumza masuala yao, wewe Mhimili wa Bunge unamuita kujieleza, kwa hiyo ukiwa Mbunge usizungumze kanisani kwenu?
Pole pole yule ashajulikana anatafuta kiki sasa wameamua kumpuuuza kama upuuzi wenyeweWadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Sawa kabisa,Kwani askofu Gwajima anahojiwa kwa sababu ya kukataa kuchanjwa?
Not for Gwajima. Gwajima is untamed wild cat.Mark this tweet, akitoka katika kamati he won't be the same.
Unajuwaje kama Polepole bado hajahojiwa?Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Woote ni wasukumaKwani askofu Gwajima anahojiwa kwa sababu ya kukataa kuchanjwa?
Wewe mwenyewe hapo ulipo tayari ni zombie na bado hujachanjwaChanjo ni kama bange, mama Samia baada ya kudungwa jana kaanza kuwafananisha wanawake na wanaume, Gwaji girl kaanza kuleta story za kutestiwa kitandani, Spika kaanza kutaka wasiochanjwa wahojiwe.
Uzombi umeanza mapema kuliko tulivyo tarajia.
Huyu padri gwajima amevuka mipaka anamchezea simba sharubuWadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Kwani wao wanaweza thibitisha kuwa anayo yasema Gwajiboy hayana ukweli!? Kumbuka...lisemwalo lipo...kama halipo laja!Gwajima ahojiwi kwa kukataa chanjo bali matamshi ya kukataa. Kuna tuhuma nzito kwa Serikali katika matamshi yake. Alisema wanaoshadadia chanjo wamehongwa kukubali iingie! Yani Rais kahongwa, sasa akathibitishe kuhusu hili.
Pili alisema kwamba zoezi hili viongozi walikuwa wanadungwa 'maji' siyo chanjo kuhadaa umma. Hii ni very serious accusation ujue! Akathibitishe.
Tatu alisema lengo la chanjo ni kuua watu na kuwapa ulemavu, akaenda mbali zaidi kusema taasisi za ulinzi na usalama wasichanjwe maana tutakosa wapiganaji!
Nne alisema chanjo inatumika na wapinga Kristo kwa lengo la kufanya tracking ya kiasi gani Dunia inapokea matakwa yao. Yani ukichanjwa, umekuwa tracked! Akathibitishe.
Gwajima alipaswa kuifata tu option ya HIYARI ya Serikali kwamba chanja au acha ila kaa kimya usipotoshe wengine.
Miongoni mwa watumishi wa Mungu wenye ushawishi na wafuasi wengi ni Mwamposa, umewahi kumsikia anasema kuhusu hili? He knows nguvu ya imani, he knows exactly kwamba madhababu siyo sehemu ya kupiga vijembe, kusuta, kubishana na mamlaka.
Gwajima ni attention seeker, kwake kufatiliwa na watu kujaa kanisani ni a big deal.
Mark this tweet, akitoka katika kamati he won't be the same.
Kwahiyo Mkiti wa ccm ni mungu mtu asiyesemwa. Ujinga.Kwani hilo kanisa lake liko ndani au nje ya Tanzania?
Pili wakati anabwabwaja na kutoa tuhuma nzito dhidi Mwenyekiti wa CCM alikuwa tayari mbunge wa Kawe au bado?
Tumia Akili kidogoKwani askofu Gwajima anahojiwa kwa sababu ya kukataa kuchanjwa?
Hahahaaaa.........!