Toka hapa na alinacha zako.Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Itakuwa ajabu wataalamu wa sayansi wanajadili sayansi na mchungajiSiku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Kwenye peak ya covid spain walikua wanakufa watu mpaka elfu 3 kwa siku. Mnapopinga chanjo ssa mnatoa mbadala gani kupunguza vifo???Samahani boss ni nchi gani iyo wanakufa elfu 1 kwa siku
Gwajima kaona waumini wake Ni misukule ndio maana kaamua kuwadanganyaItakuwa ajabu wataalamu wa sayansi wanajadili sayansi na mchungaji
Bill Gates katengeneza chanjo lini na inaitwaje?Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
Kuna virus wengi tu ila hawajapata host ndio maana hawana madhara.Wewe unadhani Jiwe alikufa kwa Corona? It was Heart attack assasination.
Ukitaka kujua kuhusu Corona angalia kitu kiitwacho Exosoms! Hiki kitu kipo naturally for thousands of years na hakina madhara kwa binadamu leo tunalazimishwa barakoa na kunawa, ***** zao!
Sikutafunii kila kitu jomba
Tutaona anachanja soonSiku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Acha kutukana Wana kwawe nyumbu wewe.Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Hao wapiga kura hawakupiga bali walichaguliwa na mamlaka shida sasa ni jinsi ya kumwelewa.Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Ukijifanya unajua wakati hujui ndiyo madhara yake hayo kama ulikuwa hujui, ukianzisha ugomvi na mtu ambaye huwezi kumpiga jua wew ni kichaa kama jiwe. Kifupi alikufa kwa corona, iko siku utajua ukweliWewe unadhani Jiwe alikufa kwa Corona? It was Heart attack assasination.
Ukitaka kujua kuhusu Corona angalia kitu kiitwacho Exosoms! Hiki kitu kipo naturally for thousands of years na hakina madhara kwa binadamu leo tunalazimishwa barakoa na kunawa, ***** zao!
Sikutafunii kila kitu jomba
Muulize mama yakoKwani hajatoa mrejesho juu ya case yake na Wana wa kijani kupitia Tume ya maadili?
Unamfananisha bill gates serious utakua huna utimamu wa akiliWewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
Mbona watanzania mnapenda kuvipa vitu vya ajabu nafasi kwenye akili zenu!!..Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Akifanya unitag, sijawahi muamini Mkono wa baunsaSiku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Mbna unaandika Kama umepitishiwa mti kwenye tundu la haja kubwa!Muulize mama yako
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Naona iliota mbawa!Wapi yule msomi wa medical, economic na diplomatic intelligence alipofikia na mkutano kwa zoom?
Wapi mrejesho? Au mambo ya kinyemela tu?