#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo

Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Toka hapa na alinacha zako.
 
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona

Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake

Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,

Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali

Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala

Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao

Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana

Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Itakuwa ajabu wataalamu wa sayansi wanajadili sayansi na mchungaji
 
Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
Bill Gates katengeneza chanjo lini na inaitwaje?
 
Kuna mtu kauliza swali hili na nimeshalijibu huko juu, soma uzi wote
 
Another man is going down
I say again
Another man is going down

Do you copy?
Over
 
Wewe unadhani Jiwe alikufa kwa Corona? It was Heart attack assasination.
Ukitaka kujua kuhusu Corona angalia kitu kiitwacho Exosoms! Hiki kitu kipo naturally for thousands of years na hakina madhara kwa binadamu leo tunalazimishwa barakoa na kunawa, ***** zao!
Sikutafunii kila kitu jomba
Kuna virus wengi tu ila hawajapata host ndio maana hawana madhara.

Kwahiyo hata Coronavirus usidhani kaumbwa jana.
 
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona

Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake

Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,

Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali

Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala

Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao

Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana

Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Tutaona anachanja soon

jamaa ni Dalali mzuri sana wa nafsi yake

huku anavuta misukule ya kuongozana nayo isiyo na clue
 
Wewe unadhani Jiwe alikufa kwa Corona? It was Heart attack assasination.
Ukitaka kujua kuhusu Corona angalia kitu kiitwacho Exosoms! Hiki kitu kipo naturally for thousands of years na hakina madhara kwa binadamu leo tunalazimishwa barakoa na kunawa, ***** zao!
Sikutafunii kila kitu jomba
Ukijifanya unajua wakati hujui ndiyo madhara yake hayo kama ulikuwa hujui, ukianzisha ugomvi na mtu ambaye huwezi kumpiga jua wew ni kichaa kama jiwe. Kifupi alikufa kwa corona, iko siku utajua ukweli
 
Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
Unamfananisha bill gates serious utakua huna utimamu wa akili
 
Naona kuna haja ya serikali kuwekeza nguvu hata kwenye tiba zetu japo ni jambo gumu ilal inawezekana.....

Madawa yanayotengenezwa na wenzetu japo yanaponya kwa kiasi chake ila yanaajenda za kiibiashara kwa undani.
 
Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Mbona watanzania mnapenda kuvipa vitu vya ajabu nafasi kwenye akili zenu!!..
 
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona

Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake

Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,

Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali

Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala

Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao

Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana

Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Akifanya unitag, sijawahi muamini Mkono wa baunsa
 
Wapi yule msomi wa medical, economic na diplomatic intelligence alipofikia na mkutano kwa zoom?

Wapi mrejesho? Au mambo ya kinyemela tu?
 
Back
Top Bottom