Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa.
1. Alimpangisha muuza bucha
2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika
3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m
4. wamevutana mwenyenyumba anaonekana hana hela, wakaenda mahakamaya Mwanzo Kawe
5. Mahakamaya mwanzo ikaamuru mwenye nyumba awekwe ndani miezi 6, na akakaa huko.
6. alipokuwa ndani, wakauza nyumba hiyo kwa mil.8.
7. thamani ya nyumba iliyoko barabarani ni kama 100m.
hoja yangu, kama hili jambo ni la kweli, naamini jamii inahitaji kuingilia kati. Pia, umuhimu wa Mahakama za mwanzo uchunguzwe kama bado zina umuhimu au tuache kesi zianzie district court. kwa wanasheria wenzangu wameshaelewa ninachomaanisha.
1. Jaji prof.Juma na mahakama yako ingilieni kati.
2. Hakimu aliyeamua kesi hiyo achunguzwe competence yake na credibility yake na kama anafaa kuendelea kuwa hakimu.
3. Mahakama za mwanzo limekuwa kimbilio la wazurumaji, ukitaka upore haki ya mtu, nenda tu primary court, honga hakimu, imeisha hiyo. hadi huwa natamani zifutwe tubaki na mahakama kuanzia wilaya na kuendelea.