Askofu Gwajima na nyumba ya mil 8 Kwa mtogole

Hii haiwezekani, umeme kukatika ni jukuma la Tanesco, tangu lini mwenye nyumba akahuska na masuala ya Tanesco?
 
Sasa Askofu Gwajima kafanyaje kwenye hiyo nyumba????
Sijaelewa content zako vs Gwajima.
 
Hii haiwezekani, umeme kukatika ni jukuma la Tanesco, tangu lini mwenye nyumba akahuska na masuala ya Tanesco?
 
Siku zinakimbia kweli. Hii habari ililetwa mwaka 2021.
 
Sasa Askofu Gwajima kafanyaje kwenye hiyo nyumba????
Sijaelewa content zako vs Gwajima.
Gwajima alienda kwenye hiyo nyumba akahoji aliyedhulumiwa nyumba na muuza bucha, kuna clip inazunguka.
 
Mahakama za mwanzo limekuwa kimbilio la wazurumaji, ukitaka upore haki ya mtu, nenda tu primary court, honga hakimu, imeisha hiyo. hadi huwa natamani zifutwe tubaki na mahakama kuanzia wilaya na kuendelea.
 
Nyumba inauzwa bila hati ya mwenye nyumba kweli.?? Walio husika kuuza hiyo nyumba si wapo hapa nchini? Huyo alienunua aongeze milion 92 tu achukue kabisa la sivyo aondoke hapo mara moja kabla sijaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…