Askofu Gwajima na siasa za ukabila, unafiki, uzandiki na jitihada za kuligawa taifa kwa mwamvuli wa dini

Vifo vya kina Kibao na vijana wengine kutekwa akiwemo mdude, kwako aa ah!
Hakuna ulipoonesha kuguswa ama kuchambua kama ulivyofanya kwa mengine hapo juu, umeparuka!

Uzuri ndiyo huu, wanafiki na machawa kwa umoja wenu hajatokea hata mmoja kuconvince umma uwaelewe kuhusu jambo hilo!

Wewe bwabwaja uwezavyo lakini kumbuka umoja na mshikamano huwepo pale ambapo watu hutendewa haki!

Kutendewa haki ni pamoja na kushitakiwa na kufungwa, lakini si kwa watu wanavyotekwa na kuuawa kama wanavyofanya unaowakingia kifua wewe!

Baki na msimamo wako lakini kiuhalisia umma wa waTz umeshavurugwa sana na utawala huu.
 
Bandiko refu, lakini hoja mfu. Mwandishi anaamini katika maisha haya mtu hawezi kubadilika kutoka katika kutenda mambo mabaya na kuanza kutenda yaliyo mema. Anasahau kwamba binadamu na viumbe wengine huzaliwa wakiwa wadogo lakini kadri miaka inavyoongezeka viumbe hao hubadilika kiumbo na hata kiakili.
 
Hii mada yako ya kifala umeiba Toka twitter alafu unafikiri watu ni wajinga?
Hoja za GWAJIMA hakuna awezaye kujibu Huko CCM
We bwege CCM hakuna anajihangaisha na vioja vya huyo tapeli, wamempuuza. Nani ajishushe hadhi yake kujibizana na tapeli? CCM hakuna mtu km huyo ila malofa km ww wanaookoteza kila uchafu mtapoteza muda wenu
 
Naona hapaswi kuitwa askofu kwasababu hata alivyo ingia bungeni haikuwa halali huyu mchumba tumbo 2
 
Bado hamjasema
 

we ni wanu au makonder?
 
ulichoandika hapa ni kauli za kijinga na ni kelele za kisiasa zisizo na msingi mbele ya historia na mustakabali wa nchi yetu.

HAKI kwanza Amani ifuate au hukuelea alichoongea GWAJI boy Jana
 
Wacha kujisumbua gentleman...watanganyika awawezi kumchagua mzanzibar tena mwenye akili finyu kuwaongoza
 
Umejionyesha jinsi ulivyo FALA utadhani wewe peke yako ndo ulimsikiliza. Watu kama nyie ni wale ambao mmeharibiwa unyeo kwa kujikomboa upate madaraka. Wewe lazima utakuwa shoga.
 
Andiko refuuuu limejaa Upumbavu.

Kwan anachokisema Gwajima ,kimesemwa nayeye tu??

CHADEMA wamelisema , TEC wamelisema, Kila Mzalendo Nchi hiii kalisema.


Wewe ndio mwenye Chuki na GWAJIMA.


mpumbavu wewe
 
Kazi kweli kweli
Ingefaa zaidi tujadili hoja za watu badala ya kujadili watu.

Kwa sababu tukianza kujadili watu naweza kujenga case ya kuwahukumu Watanzania wote walio zaidi ya miaka 18.

Yani ni hivi, ukianza kuhukumu watu unamuona kabisa Gwajima tapeli, Samia muuaji, Tundu Lissu kamkaribisha Abdul kujadili naye habari zisizofaa.

Hakuna atakayepona.

Kwa hiyo nataka kujadili hoja zaidi.

Kwamba Gwajima kiujumla tapeli. Kaahidi watu kuwapeleka Birmingham mpaka leo hajawapeleka.

Lakini kwenye suala la haki zake za kikatiba za uhuru wa kuabudu kavunjiwa.

Kwa hiyo, kama angekuwa anataka ubunge wa Kawe ningesema huyu tapeli msimchague. Hajatimiza ahadi alizotoa.

Lakini hilo halina maana anapotwza haki zake za kikatiba za uhuru wa kuabudu.

Kwa hivyo, akilia kuvunjiwa haki zake za uhuru wa kuabudu nitamuunga mkoni, hata kama mimi ni atheist na siamini kama yeye.

Akikemea utekaji nitamuunga mkono.

Tujadili mambo hoja kwa hoja, tusitake kumkubali au kumkataa mtu kwa style ya "all or nothing at all".

Mimi hata Samia ingawa simkubali kwa mengi, salamu yake secukar ya "Jamhuri ya Tanzania, Kazi iendelee" naikubali sana.

Kwa sababu inaondoa ujinga wa salam za kidini katika mikutano ya kiserikali.

So, there you have it. One thing I agree with Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ