Askofu Gwajima na siasa za ukabila, unafiki, uzandiki na jitihada za kuligawa taifa kwa mwamvuli wa dini

Kama ambavyo Bi Mkubwa ana chuki dhidi ya Tundu Lissu na CHADEMA.
huyo mropokaji wa chadema kumbe ndio alikua kiongozi mkuu wa genge la uhalifu la utekaji nchini.
hivi sasa chadema imekufa na utekaji umetokomea waTanzania wananishi kwa amani bila hofu.

Mungu ni mkubwa sana kwa waTanznia, amewaumbua na kuwadhihirisha watekaji mchana kweupe pamoja na kiongozi wao ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
 
Tatizo umeandika kama mwanachama wa ccm
Jaribu kuwa neutral then uje na andiko lingine, andika kama mtu asiye na chama, na uje na mapendekezo bila kuegemea upande wowote
 
huyo mropokaji wa chadema kumbe ndio alikua kiongozi mkuu wa genge la uhalifu la utekaji nchini.
๐Ÿ—‘
Kumbe wewe ndiye mropokaji Og.

Lissu akiwa mahabusu, kuna wananchi walitekwa pale mahakamani Kisutu kwenye kesi yake, wakapelekwa msituni Mabwepande wakaumizwa vibaya mno na kutelekezwa pale, aliongoza vipi huo utekaji?

Ukidanganya uwe unatumia akili angalau kidogo
 
๐Ÿ‘‰Lakini tukio la kupigwa risasi kwa Lissu lilitokea mwaka 2017, wakati wa utawala wa Magufuli, na Gwajima akiwa ndani ya Bunge. Hakuinua sauti wala kuonyesha mshikamano wa kibinadamu
๐Ÿšฎ
Uongo huu,
Mwaka 2017 Gwajima hakuwa mbunge.
Allingia bungeni baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, yaani kuanzia November 2020, na hiyo ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuwa mbunge
 
Wewe si Mwashambwa kabisa wewe, anyway, tu- assume unachosema no kweli, lakini kuna maswali muhimu ya kuyajibu;
1. Umeeleza vema kwamba mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa RISASI, na Gwajima hakusema chochote! Kwa akili yako, alitakiwa kuendelea kufumbia macho uonevu,Hilo lingekufurahisha?

2. Kufungwa kwa makanisa kwa sababu za "kisheria" unajua taratiibu zinazotakiwa kufuatwa unapofungia kabisa au taasisi yoyote ya dini? Je unaweza kutwambia makanisa ya Ufufuo na uzima yamefungwa kwa sababu gani za kisheria? Gwajima amesema sababu aliyoambiwa ni kwamba kabisa limejengwa karibu na Barbara, (kama Una sababu nyingine twambie) lakini kama sababu ni hiyo, je, makanisa yote ya Ufufuo na uzima nchi nzima yapo karibu na barabara? Lakini zaidi Sana, imesemwa kwamba karibu na kanisa kuna msikiti pia, kwanini limefungwa kabisa na msikiti umeachwa? Kwanini Mimi mkristo niipate hisia kwamba huu NI mwanzo WA kuushughulikia ukristo?

3. Mauaji ya watu na utekaji, unakiri kwamba matukio hayo yapo, na hayakuanza Leo, Bali tangu Enzo za JPM, okay,kwa hiyo unataka kuhalalisha uuaji na utekaji kwa sababu Tu, vilikuwepo toka enzi za JPM, na unaharamisha maoni yake kwa sababu Tu,mauaji yanayofanywa sasa ni mwendelezo WA waliokuwa wakifanya Samia na JPM?

Kama hii ndiyo namna mnavyotaka basi mjue mnachochea Moto ambao mwisho wa siku utaunguza wote, mnaofurahia na wanakwenda matendo yote ya uonevu, tutajikuta wote tunalia!
Himizeni haki, nchi yetu nzuri itastawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ