GE2025 Askofu Gwajima: Naendelea kukataa utekaji, na kauli zinazotoka ni nyepeusi ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.

Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana. Hii aikubaliki kabisa!

Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.

Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana. Hii aikubaliki kabisa!
Acheni utapeli anaongea akiwa wapi huyoo
 
Back
Top Bottom