Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna hoja nyingi kuhusu chanjo ambazo alizitoa hadi leo hajaona majibu yake zaidi ya kuona uzushi wa yeye kuchomwa chanjo na kujiuzulu Ubunge.
Ameendelea kusisitiza wataalam kujibu hoja za wananchi
Kwenye kuchonganishachonganisha mwingine jana kasambaza kabango jamani Gwajima kajiuzulu Ubunge, mlikaona kabango kale? kauongo.. ka wale wachonganishichonganishi haina uhusiano"
"Uhusiano ni kwamba mimi ni aina ya Mtu ambae nikisema hivi leo, nitasema hivyo kesho, kesho kutwa wiki ijayo, nyinyi ambae mnabadilikabadilika na nyie mmebarikiwa kwa aina yenu, mimi sina uwezo huo"