Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

Kweli GWAJIMA habadiliki, Sasa atwambie umbunge wa Kawe aliupataje ila tumuone yuko na Mungu Alie hai, achani zenu BWANA ,nyie vipi ni mungu yupi wa kwenu tofauti na wa wengine ? Au Dunia hii Kuna Mungu mungu wa aina ngapi? GWAJIMA ASEME mungu wake ni yupi apendae dhuluma
 
Mbona ameshabadilika na kulegea,amekiri leo kuwa Corona ipo na inaendelea kuua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…