Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Suala la kusema one single church la Ufufuo na Uzima kipindi limefungwa kwamba limeibiwa vitu na fedha vyenye thamani ya fedha za Kitanzania sh. Billioni 2.7 ni uongo mkubwa ambao unapaswa kutoka kinywani mwa shetani baba wa uongo pekee.
Kwanini niseme kuwa huu ni uongo mtakatifu tena haupaswi kutoka kinywani mwa mwanadamu?
1.Kanisa la ufufuo na Uzima akaunti zote za kupokelea na kutunza sadaka zimesajiliwa kwa majina ya Gwajima. Hii maana yake ni kwamba mfumo wa pesa wa kanisa la ufufuo na Uzima uko chini ya mtu mmoja tu ambaye ni Gwajima, hivyo basi huyo mtu ambaye haamini katika akaunti za pamoja hawezi kukubali nyingi zikae ndani ya ofisi ya kanisa. Hapo kila Jumapili hukusanywa na kwenda kuwekwa kwenye akaunti zake. Yawezekana kila baada ya Ibada hukusanywa zote.
2. Hoja nambari 2
Kama mali zilizoibiwa zina thamani ya billioni 2.7 na zingine zimebaki, maana yake ndani ya hilo kanisa kulikuwa na mali za zaidi ya sh. bilion 5 za Kitanzania.
Hivi inawekana mtu mwenye akili timamu kuweka mali za zaidi ya sh. bilion 5 kwenye lile jengo la mabati?.
Haiwezekani.
Tubuni.