The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwani aliyasema akiwa bungeni?Au hayo uliyoyaorodhesha yanahusu hadhi ya bunge?Aende akatoe ushahidi Muheshimiwa Raisi kahongwa na nani na kiasi gani?
Atoe ushahidi kuwa chanjo ni sumu.
Akatoe ushahidi wa nanomilimita? Iliyomo kwenye chanjo ambayo inasaidia kuwacontrol waliochoma.
Akatoe ushahidi kuwa muheshimiwa raisi aliwadanganya watanzania kwa kuchoma maji badala ya chanjo ya jensen.
Wanafiki sana hawajitambuiiUzuri huwa sipendi kusimuliwa,nafuatilia mwenyewe,nimemsikia mwenyewe Gwajima!...
Hata Gwajima mwenyewe aliwahi kusema hawezi kugombea ubunge, maana ana hadhi kubwa kuliko ubunge.Uzuri huwa sipendi kusimuliwa,nafuatilia mwenyewe,nimemsikia mwenyewe Gwajima!
Na Leo ndo nimeona clip ya Moleli naibu waziri akiongea kuwa chanjo haifai kipindi cha hayati Magufuli,aisee sijaamini nilichokiona na...
Gwajima anaupiga mwingi mpaka Dada Doro amepoteana
Yamevuja Hadi ya ndani kabisa, kumbe dada Doro hawezi kuishi na wanaume, kisha achwa mara mbili kwenye ndoa, achana na vibuti vya kupigwa na ma boyfriend na michepuko
[/QUOTE
HAITUHUSU!!! MTAFUTE WEWE BASI?