#COVID19 Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

#COVID19 Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Video imebeba ujumbe wote.

Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...

Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema.

Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila kujali chochote na daima atasimama katika kweli na sasa atakwenda kusema na mengine ambayo hata hatujawahi kuyasikia.

Aende akatoe ushahidi Muheshimiwa Raisi kahongwa na nani na kiasi gani?

Atoe ushahidi kuwa chanjo ni sumu.

Akatoe ushahidi wa nanomilimita? Iliyomo kwenye chanjo ambayo inasaidia kuwacontrol waliochoma.

Akatoe ushahidi kuwa muheshimiwa raisi aliwadanganya watanzania kwa kuchoma maji badala ya chanjo ya jensen.
 
Kwani aliyasema akiwa bungeni?Au hayo uliyoyaorodhesha yanahusu hadhi ya bunge?
 
Wananchi wengi wamekosa imani na serikali hii ya mama Samia.
Hilo tu,mengine ya chanjo ni ziada tu
 
Uzuri huwa sipendi kusimuliwa,nafuatilia mwenyewe,nimemsikia mwenyewe Gwajima!

Na Leo ndo nimeona clip ya Moleli naibu waziri akiongea kuwa chanjo haifai kipindi cha hayati Magufuli,aisee sijaamini nilichokiona na kukisikia[emoji848]nashukuru Gwajima ali tuwekea tujionee before and after Magufuli![emoji119].

Hakika usimwamini mwanasiasa!
 
Uzuri huwa sipendi kusimuliwa,nafuatilia mwenyewe,nimemsikia mwenyewe Gwajima!
Na Leo ndo nimeona clip ya Moleli naibu waziri akiongea kuwa chanjo haifai kipindi cha hayati Magufuli,aisee sijaamini nilichokiona na...
Hata Gwajima mwenyewe aliwahi kusema hawezi kugombea ubunge, maana ana hadhi kubwa kuliko ubunge.

Vipi hiyo video nayo ameiweka?

Heri mwanasiasa muongo kuliko kiongozi wa kiroho mnafiki.
 
Labda asilimia 70 ni ya wale misukule wake, asituchanganye na sisi wenye akili timamu.
 
Yamevuja Hadi ya ndani kabisa, kumbe dada Doro hawezi kuishi na wanaume, kisha achwa mara mbili kwenye ndoa, achana na vibuti vya kupigwa na ma boyfriend na michepuko
[/QUOTE
HAITUHUSU!!! MTAFUTE WEWE BASI?
 
Back
Top Bottom