Askofu Gwajima: Sijaacha utumishi wa Mungu bali nimepanua Huduma na kuwafikia watu wengi zaidi

Askofu Gwajima: Sijaacha utumishi wa Mungu bali nimepanua Huduma na kuwafikia watu wengi zaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akijibu swali kwanini anagombea ubunge wakati huko nyuma aliwahi kusema hawezi kugombea vyeo vya kisiasa kwa sababu atajishusha hadhi, askofu Gwajima amesema yeye hajaacha uchungaji bali atafanya kazi mbili kwa pamoja yaani mchungaji na mbunge.

" ni kwamba nimepanua tu Huduma ili kuwafikia watu wengi zaidi " amesisitiza askofu Gwajima.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kitu asichoweza kukiri wazi ni kwamba anapanua wigo wa kuingiza fedha na madaraka zaidi na sio huduma.
 
Back
Top Bottom