PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtu yoyote mpenda Tanzania atakubaliana na yale aliyosema mch Gwajima,Tanzania inahitaji watu washupavu wa kuwasemea watu kipindi hiki kama Gwajima
 
Kabakiza siku ngapi ili spika wa Bunge amfukuze? maana haja hudhuria kikao cha budget tangu aanze kutafutwa na polisi.
 
Sasa wimbo mzuri wa Tanzania halafu anapeperusha bendera ya Uzayuni !!! Wapi na wapi - Uzalendo ukp wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…