Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Aug 15, 2025 #1 Askofu Gwajima amehoji: "Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa mfano Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Your browser is not able to display this video.
Askofu Gwajima amehoji: "Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa mfano Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Your browser is not able to display this video.
Kimbesa11 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2015 Posts 4,648 Reaction score 2,706 Aug 15, 2025 #2 Mwaka huu manyumbu watateseka sana siku hz hawajui wamsikilize Mpina au gwajima🤣🤣🤣
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Aug 15, 2025 #3 Kimbesa11 said: Mwaka huu manyumbu mtateseka sana kwahyo siku hz mmeacha kumsikiliza Mpina 🤣🤣🤣 Click to expand... 🖕
Kimbesa11 said: Mwaka huu manyumbu mtateseka sana kwahyo siku hz mmeacha kumsikiliza Mpina 🤣🤣🤣 Click to expand... 🖕
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,148 Reaction score 13,108 Aug 15, 2025 #4 Kimbesa11 said: Mwaka huu manyumbu watateseka sana siku hz hawajui wamsikilize Mpina au gwajima🤣🤣🤣 Click to expand... wewe ni nani unayewaita wanadamu walioumbwa na Mungu Nyumbu. who are u.
Kimbesa11 said: Mwaka huu manyumbu watateseka sana siku hz hawajui wamsikilize Mpina au gwajima🤣🤣🤣 Click to expand... wewe ni nani unayewaita wanadamu walioumbwa na Mungu Nyumbu. who are u.
Kimbesa11 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2015 Posts 4,648 Reaction score 2,706 Aug 15, 2025 #5 Blood of Jesus said: wewe ni nani unayewaita wanadamu walioumbwa na Mungu Nyumbu. who are u. Click to expand... Unajipandisha kisukari bure 🤣
Blood of Jesus said: wewe ni nani unayewaita wanadamu walioumbwa na Mungu Nyumbu. who are u. Click to expand... Unajipandisha kisukari bure 🤣