Askofu Gwajima umetoa funzo kubwa kwenye maisha. Nitakuja kutoa sadaka na kuombewa

Alex khalifa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
278
Reaction score
516
Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.

Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI.

Wazazi wanakutana wanapigana sound, unaanza kutoa pesa mwanamke akukubali, unapigia changamoto nyingi, mnajaaliwa kupata mtoto, mara anaugua mnalala macho, pengine mzazi kajifungua kwa operation, na pengine kafa unakuza mtoto kwa shida kumsomesha kwa kujinyima, mara anaugua tena unakimbiakimbia huku na kule ili kumnusuru mtoto, mpaka anakua ume sota haswa jasho si la mchezo unanyanyua mikono kumshukuru mungu mtoto kakua akajitegemee Sasa.

Mara unapata taarifa, mtoto katekwa na wasio julikana, huja kaa vizuri unaambiwa kapatikana amefariki kwenye furushi la kiroba kafungwa fungwa ka mahindi, dah inasikitisha sana, unasubiri labda wale mlowapa dhamana ya kuwalinda watoe taarifa ya kifo, zinaanza sarakasi baadae unasikia alikamatwa na watu wa mfumo na zile kofia zao nyeusi, na gari jeupe land cruiser wakiwa na silaha za moto, alafu bado mtu anataka unyamaze, ukigusia mwanae Sasa hapo anajaaa jaziba, ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Hilo linaumiza.

Asante TECH, asante GWAJIMA, wahaini wametoka na mlisismama nao kudai waachiwe bila sharti lolote, asanteni watz ushirikiano mlio uonesha mungu katulipa, mzee mwandambo tumeambiwa Yuko polisi, bila kukemea utekaji huenda ange okotwa kauliwa, na maisha yakaenda ndo tulipo kuwa tumefikia,

Kuna vijana wakiislamu walikua kwenye kesi ya uhaini masheikh wamewatelekeza wamepambaniwa na tech, masheikh kimya aibu naona Mimi wale vijana wametoka bila mchango wao wowote.

Nilipata nauli takuja GWAJIMA nme kuheshimu sana japo mwanzo nipikuweka kundi la matapeli, ila Sasa umepata heshima yangu

Mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania, amen
 
Historia huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakaendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.

Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.

IMG-20251024-WA0076.jpg
 
Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.

Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI.

Wazazi wanakutana wanapigana sound, unaanza kutoa pesa mwanamke akukubali, unapigia changamoto nyingi, mnajaaliwa kupata mtoto, mara anaugua mnalala macho, pengine mzazi kajifungua kwa operation, na pengine kafa unakuza mtoto kwa shida kumsomesha kwa kujinyima, mara anaugua tena unakimbiakimbia huku na kule ili kumnusuru mtoto, mpaka anakua ume sota haswa jasho si la mchezo unanyanyua mikono kumshukuru mungu mtoto kakua akajitegemee Sasa.

Mara unapata taarifa, mtoto katekwa na wasio julikana, huja kaa vizuri unaambiwa kapatikana amefariki kwenye furushi la kiroba kafungwa fungwa ka mahindi, dah inasikitisha sana, unasubiri labda wale mlowapa dhamana ya kuwalinda watoe taarifa ya kifo, zinaanza sarakasi baadae unasikia alikamatwa na watu wa mfumo na zile kofia zao nyeusi, na gari jeupe land cruiser wakiwa na silaha za moto, alafu bado mtu anataka unyamaze, ukigusia mwanae Sasa hapo anajaaa jaziba, ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Hilo linaumiza.

Asante TECH, asante GWAJIMA, wahaini wametoka na mlisismama nao kudai waachiwe bila sharti lolote, asanteni watz ushirikiano mlio uonesha mungu katulipa, mzee mwandambo tumeambiwa Yuko polisi, bila kukemea utekaji huenda ange okotwa kauliwa, na maisha yakaenda ndo tulipo kuwa tumefikia,

Kuna vijana wakiislamu walikua kwenye kesi ya uhaini masheikh wamewatelekeza wamepambaniwa na tech, masheikh kimya aibu naona Mimi wale vijana wametoka bila mchango wao wowote.

Nilipata nauli takuja GWAJIMA nme kuheshimu sana japo mwanzo nipikuweka kundi la matapeli, ila Sasa umepata heshima yangu

Mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania, amen
Bandiko lililojaa madini ya maana....Hongera.

Kuna watu watakuja na mawe muda sio mrefu, vaa helmet.
 
H
Historia huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.

Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.

View attachment 3507071
Kabisa
 
Kwenye maisha ukishaanza kulipwa chakula au fedha ili ufanye jambo la mtu kwa maslahi yake ujue umeisha, ndio hao masheikh ubwabwa walipofikia
Njaaa ndo chanzo ila hata Mimi na njaa lakini sijakubali kukandamiza wengine ili matumbo yetu yajae
 
Historia huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.

Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.

View attachment 3507071
Nasema fungia kanisa hata milele mpaka Yesu atakaporudi lakini nasema utekaji haukubaliki. Ebana eee nani kama gwajima?
 
Alafu nimegundua wahain wengi walikuwa vijana wa kiislamu

Kesi za mchongo kabisa ndo maana tunataka katiba mpya
 
Nasema fungia kanisa hata milele mpaka Yesu atakaporudi lakini nasema utekaji haukubaliki. Ebana eee nani kama gwajima?

Hii kauli aliirudia kama mara 3 Hivi nikasema kweli This time Gwajima Hachekeshi 🤣

Mnyonge mnyongeni, Sio jambo dogo alilolifanya Gwajima kupaza Sauti kipindi ambacho Kila mtu amekaa kimya.

Ame risk Kanisa lake, Familia yake, Uchumi wake - Maana lazima acc zake na mali zake ziwe frozen kipindi hiki na mbaya zaidi ka risk Uhai wake.

Mungu akupe mwisho mwema Askofu.
 
Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.

Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI.

Wazazi wanakutana wanapigana sound, unaanza kutoa pesa mwanamke akukubali, unapigia changamoto nyingi, mnajaaliwa kupata mtoto, mara anaugua mnalala macho, pengine mzazi kajifungua kwa operation, na pengine kafa unakuza mtoto kwa shida kumsomesha kwa kujinyima, mara anaugua tena unakimbiakimbia huku na kule ili kumnusuru mtoto, mpaka anakua ume sota haswa jasho si la mchezo unanyanyua mikono kumshukuru mungu mtoto kakua akajitegemee Sasa.

Mara unapata taarifa, mtoto katekwa na wasio julikana, huja kaa vizuri unaambiwa kapatikana amefariki kwenye furushi la kiroba kafungwa fungwa ka mahindi, dah inasikitisha sana, unasubiri labda wale mlowapa dhamana ya kuwalinda watoe taarifa ya kifo, zinaanza sarakasi baadae unasikia alikamatwa na watu wa mfumo na zile kofia zao nyeusi, na gari jeupe land cruiser wakiwa na silaha za moto, alafu bado mtu anataka unyamaze, ukigusia mwanae Sasa hapo anajaaa jaziba, ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Hilo linaumiza.

Asante TECH, asante GWAJIMA, wahaini wametoka na mlisismama nao kudai waachiwe bila sharti lolote, asanteni watz ushirikiano mlio uonesha mungu katulipa, mzee mwandambo tumeambiwa Yuko polisi, bila kukemea utekaji huenda ange okotwa kauliwa, na maisha yakaenda ndo tulipo kuwa tumefikia,

Kuna vijana wakiislamu walikua kwenye kesi ya uhaini masheikh wamewatelekeza wamepambaniwa na tech, masheikh kimya aibu naona Mimi wale vijana wametoka bila mchango wao wowote.

Nilipata nauli takuja GWAJIMA nme kuheshimu sana japo mwanzo nipikuweka kundi la matapeli, ila Sasa umepata heshima yangu

Mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania, amen
Bado haachi kuwa chawa jizi na tapeli la kawaida linalojikomba kwa CCM sasa ili liweze kuendelea na jinai yake.
 
Hii kauli aliirudia kama mara 3 Hivi nikasema kweli This time Gwajima Hachekeshi 🤣

Mnyonge mnyongeni, Sio jambo dogo alilolifanya Gwajima kupaza Sauti kipindi ambacho Kila mtu amekaa kimya.

Ame risk Kanisa lake, Familia yake, Uchumi wake - Maana lazima acc zake na mali zake ziwe frozen kipindi hiki na mbaya zaidi ka risk Uhai wake.

Mungu akupe mwisho mwema Askofu.
Kweli alichofanya ni cha kukumbukwa daima
 
Historia huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.

Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.

View attachment 3507071
Ila jasusi la mbinguni bhana ukilituzama kwa jicho moja limeenea, anastahili kabisa kuwa rais wetu huyu baba
 
Back
Top Bottom