Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Bandiko lililojaa madini ya maana....Hongera.Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.
Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI.
Wazazi wanakutana wanapigana sound, unaanza kutoa pesa mwanamke akukubali, unapigia changamoto nyingi, mnajaaliwa kupata mtoto, mara anaugua mnalala macho, pengine mzazi kajifungua kwa operation, na pengine kafa unakuza mtoto kwa shida kumsomesha kwa kujinyima, mara anaugua tena unakimbiakimbia huku na kule ili kumnusuru mtoto, mpaka anakua ume sota haswa jasho si la mchezo unanyanyua mikono kumshukuru mungu mtoto kakua akajitegemee Sasa.
Mara unapata taarifa, mtoto katekwa na wasio julikana, huja kaa vizuri unaambiwa kapatikana amefariki kwenye furushi la kiroba kafungwa fungwa ka mahindi, dah inasikitisha sana, unasubiri labda wale mlowapa dhamana ya kuwalinda watoe taarifa ya kifo, zinaanza sarakasi baadae unasikia alikamatwa na watu wa mfumo na zile kofia zao nyeusi, na gari jeupe land cruiser wakiwa na silaha za moto, alafu bado mtu anataka unyamaze, ukigusia mwanae Sasa hapo anajaaa jaziba, ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Hilo linaumiza.
Asante TECH, asante GWAJIMA, wahaini wametoka na mlisismama nao kudai waachiwe bila sharti lolote, asanteni watz ushirikiano mlio uonesha mungu katulipa, mzee mwandambo tumeambiwa Yuko polisi, bila kukemea utekaji huenda ange okotwa kauliwa, na maisha yakaenda ndo tulipo kuwa tumefikia,
Kuna vijana wakiislamu walikua kwenye kesi ya uhaini masheikh wamewatelekeza wamepambaniwa na tech, masheikh kimya aibu naona Mimi wale vijana wametoka bila mchango wao wowote.
Nilipata nauli takuja GWAJIMA nme kuheshimu sana japo mwanzo nipikuweka kundi la matapeli, ila Sasa umepata heshima yangu
Mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania, amen
Mungu ni mwema ata tujibu tuWijui hata tunaendawapi na tutafika ? JK anaharibu hii nchi kwa tamaa zake
Sana mkuuUmeongea kwa uchungu sana, hii kwa kweli inaumiza sana.
Shukrani sana Kuna muda unajitenga pekee yako una kaaa unafikiri vingi sana kuhusu utekaji inaumiza sanaBandiko lililojaa madini ya maana....Hongera.
Kuna watu watakuja na mawe muda sio mrefu, vaa helmet.
KabisaHistoria huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.
Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.
View attachment 3507071
Njaaa ndo chanzo ila hata Mimi na njaa lakini sijakubali kukandamiza wengine ili matumbo yetu yajaeKwenye maisha ukishaanza kulipwa chakula au fedha ili ufanye jambo la mtu kwa maslahi yake ujue umeisha, ndio hao masheikh ubwabwa walipofikia
Nasema fungia kanisa hata milele mpaka Yesu atakaporudi lakini nasema utekaji haukubaliki. Ebana eee nani kama gwajima?Historia huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.
Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.
View attachment 3507071
Nasema fungia kanisa hata milele mpaka Yesu atakaporudi lakini nasema utekaji haukubaliki. Ebana eee nani kama gwajima?
Bado haachi kuwa chawa jizi na tapeli la kawaida linalojikomba kwa CCM sasa ili liweze kuendelea na jinai yake.Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.
Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI.
Wazazi wanakutana wanapigana sound, unaanza kutoa pesa mwanamke akukubali, unapigia changamoto nyingi, mnajaaliwa kupata mtoto, mara anaugua mnalala macho, pengine mzazi kajifungua kwa operation, na pengine kafa unakuza mtoto kwa shida kumsomesha kwa kujinyima, mara anaugua tena unakimbiakimbia huku na kule ili kumnusuru mtoto, mpaka anakua ume sota haswa jasho si la mchezo unanyanyua mikono kumshukuru mungu mtoto kakua akajitegemee Sasa.
Mara unapata taarifa, mtoto katekwa na wasio julikana, huja kaa vizuri unaambiwa kapatikana amefariki kwenye furushi la kiroba kafungwa fungwa ka mahindi, dah inasikitisha sana, unasubiri labda wale mlowapa dhamana ya kuwalinda watoe taarifa ya kifo, zinaanza sarakasi baadae unasikia alikamatwa na watu wa mfumo na zile kofia zao nyeusi, na gari jeupe land cruiser wakiwa na silaha za moto, alafu bado mtu anataka unyamaze, ukigusia mwanae Sasa hapo anajaaa jaziba, ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Hilo linaumiza.
Asante TECH, asante GWAJIMA, wahaini wametoka na mlisismama nao kudai waachiwe bila sharti lolote, asanteni watz ushirikiano mlio uonesha mungu katulipa, mzee mwandambo tumeambiwa Yuko polisi, bila kukemea utekaji huenda ange okotwa kauliwa, na maisha yakaenda ndo tulipo kuwa tumefikia,
Kuna vijana wakiislamu walikua kwenye kesi ya uhaini masheikh wamewatelekeza wamepambaniwa na tech, masheikh kimya aibu naona Mimi wale vijana wametoka bila mchango wao wowote.
Nilipata nauli takuja GWAJIMA nme kuheshimu sana japo mwanzo nipikuweka kundi la matapeli, ila Sasa umepata heshima yangu
Mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania, amen
Kweli alichofanya ni cha kukumbukwa daimaHii kauli aliirudia kama mara 3 Hivi nikasema kweli This time Gwajima Hachekeshi 🤣
Mnyonge mnyongeni, Sio jambo dogo alilolifanya Gwajima kupaza Sauti kipindi ambacho Kila mtu amekaa kimya.
Ame risk Kanisa lake, Familia yake, Uchumi wake - Maana lazima acc zake na mali zake ziwe frozen kipindi hiki na mbaya zaidi ka risk Uhai wake.
Mungu akupe mwisho mwema Askofu.
Haki imeshindaaNasema fungia kanisa hata milele mpaka Yesu atakaporudi lakini nasema utekaji haukubaliki. Ebana eee nani kama gwajima?
Ila jasusi la mbinguni bhana ukilituzama kwa jicho moja limeenea, anastahili kabisa kuwa rais wetu huyu babaHistoria huandikwa na watu walio tayari kujitoa kama akina Gwajima na Polepole. Wangeweza kujikalia kimya na wakendelea kula mema ya nchi lakini dhamira, utashi na ujasiri wao vilikataa. Wakawa tayari kupoteza kila kitu - hata uhai ikibidi.
Wako upande sahihi wa historia na historia hiyo itawakumbuka na kuwaheshimu daima - wao na vizazi vyao.
View attachment 3507071
Huyu hata kuku hafai kuongoza achilia mbali binadamu. Tapeli la kunuka tena chawa.Ila jasusi la mbinguni bhana ukilituzama kwa jicho moja limeenea, anastahili kabisa kuwa rais wetu huyu baba