Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Gwajima halikua chagua letu Wana Kawe! Gwajima lilikua ni hitaji la moyoni kabisa la Bwana Shujaa Mwendazake
Acheni kaka apumzike Jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima halikua chagua letu Wana Kawe! Gwajima lilikua ni hitaji la moyoni kabisa la Bwana Shujaa Mwendazake
Alisema Kawe nileteeni Gwajimaaaaaa...!Acheni kaka apumzike Jaman
Usimpangie mbunge majukumu, kazi yako ya kupiga kura imeshaishaAskofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.
Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdigo kisayansi unavyokuumbua.
Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Wapambe mpakueni tu na msubiri hasira ya kidole 2025.Usimpangie mbunge majukumu, kazi yako ya kupiga kura imeshaisha
Wewe uliyejibu hivi ni binadam kweli? Mbona huelewi mambo madogo madogo kiasi hiki?.badala ya kujibu hoja unaleta taarabu za yule kumbuka anaongea anajishikaa kiuno mtto wa kiume?Kwani kabla ya 2020 wakati hajawa Mbunge alikuwa anakula nyasi?
Unauhakika nyie ndo mlimchagua?Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.
Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdigo kisayansi unavyokuumbua.
Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.
Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdigo kisayansi unavyokuumbua.
Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Atakula ubishi wake kama barabara hatupati Kawe.gwaji boy amewekwa na mfumo sio wewe
Mtulie hivyo hivyo, mlimchagua wenyewe[emoji28][emoji28][emoji28]Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.
Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdigo kisayansi unavyokuumbua.
Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Kumbe tumechagua chizi!Mtulie hivyo hivyo, mlimchagua wenyewe[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo majuzi kila mbunge amepewa milioni 5 za kushirikiana na Tarura aulizwe zilko au zimefanya nini?Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.
Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdigo kisayansi unavyokuumbua.
Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Mkuu wajinga na tusio na akili tupo milioni 60, na wewe mjanja hukosekani humo.Sasa Askofu Gwajima na wewe nani mwenye akili?
Kama ulimpa kura mtu ambae hawezi kufanya mliyomtuma Kosa ni la nani?
Watanzania Mmekuwa wajinga mno.
Wajinga ndio waliwao
Ngwajima ni opportunist
Japo simkubali na sikuwahi kumkubali kabisa Askofu Gwajima, jla hapa kuna Hoja nzuri na yenye Mantiki kabisa uliyoileta.Wewe ni mkazi wa kawe? Kama ndio wana kawe tulikuwa tayari kwa yoyote awe Mbunge lakini sio Halima Mdee.
Huwezi kuwa na Mbunge mnaonana nae anapokuja kuomba kura.
Lakini mahakamani yupo kila siku.