Askofu Gwajima unacheza ngoma ambayo wanaKawe hatukukutuma

Samia ameshamjibu
Your browser is not able to display this video.
 
Usimpangie mbunge majukumu, kazi yako ya kupiga kura imeshaisha
 
Kwani mlimchagua au alipewa na Kayafa?
 
Ushauri kwa Mheshimiwa Mbunge,katika zile shs 500,000,000 zilizotolewa na serikali kwa kila Jimbo(Tarura) Basi kaa na wenyeviti na watendaji wa serikali za mitaa,au wananchi wachague barabara moja au mbili za kwenye mtaa wao za kujengwa na Tarura au kupitisha grader kwenye mitaa, ya pembezoni ya Jimbo lako la kawe.
 
Kwani kabla ya 2020 wakati hajawa Mbunge alikuwa anakula nyasi?
Wewe uliyejibu hivi ni binadam kweli? Mbona huelewi mambo madogo madogo kiasi hiki?.badala ya kujibu hoja unaleta taarabu za yule kumbuka anaongea anajishikaa kiuno mtto wa kiume?
Marshallah
 
Hahaha kawe siyo Mbagala. Subir akamuulize Adam jee
 
Unauhakika nyie ndo mlimchagua?
 

gwaji boy amewekwa na mfumo sio wewe
 
Mtulie hivyo hivyo, mlimchagua wenyewe[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapo majuzi kila mbunge amepewa milioni 5 za kushirikiana na Tarura aulizwe zilko au zimefanya nini?
 
Sasa Askofu Gwajima na wewe nani mwenye akili?
Kama ulimpa kura mtu ambae hawezi kufanya mliyomtuma Kosa ni la nani?
Watanzania Mmekuwa wajinga mno.
Wajinga ndio waliwao
Ngwajima ni opportunist
 
Sasa Askofu Gwajima na wewe nani mwenye akili?
Kama ulimpa kura mtu ambae hawezi kufanya mliyomtuma Kosa ni la nani?
Watanzania Mmekuwa wajinga mno.
Wajinga ndio waliwao
Ngwajima ni opportunist
Mkuu wajinga na tusio na akili tupo milioni 60, na wewe mjanja hukosekani humo.
 
Wewe ni mkazi wa kawe? Kama ndio wana kawe tulikuwa tayari kwa yoyote awe Mbunge lakini sio Halima Mdee.

Huwezi kuwa na Mbunge mnaonana nae anapokuja kuomba kura.

Lakini mahakamani yupo kila siku.
Japo simkubali na sikuwahi kumkubali kabisa Askofu Gwajima, jla hapa kuna Hoja nzuri na yenye Mantiki kabisa uliyoileta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…