Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

Unahoja nzuri japo kuwa hukuwa unamaanisha Mungu/MUNGU, ulikuwa unamaanisha mungu, waabudu sanamu utawajua tu hata waspojitambulisha,
Sina dini kwa hiyo kuhisi nina abudu sanamu inaonyesha kabisa uwezo wako wa kufikiri limit yake. Umewezaje kunijudge kwa kuandika tu herufi ndogo
 
Umekaririshwa Biblia wewe! Hivi unafikiri wanaokufa kufa kwa Korona wanadhambi kulko sisi ...! kWA HIYO UKIFA KWA MAGONJWA WEWE HUMTEGEMEI MUNGU....mBONA MAGONJWA NDIO VYANZO VYA VIFO VINGI DUNIANI!
1. Sijakariri Biblia bali nimeelewa Biblia. Kukariri Biblia ni kujua mistari ya Biblia pasipo matokeo lakini kwangu mimi yale niliyosoma kwenye Biblia ninayaweka kwenye vitendo na matokeo yanatokea.
2. Msingi wa hoja yako umejikita kwenye matokeo (magonjwa/vifo) lakini je, wajua sababu ya magonjwa na vifo?
Kujua chanzo cha tatizo ndio mwanzo wa kutatua tatizo. Hata kama unamtegemea Mungu unaweza kufa kwa sababu yoyote na si ugonjwa tu na mara zote anayekufa anajua sababu ni nini
 
Sina dini kwa hiyo kuhisi nina abudu sanamu inaonyesha kabisa uwezo wako wa kufikiri limit yake. Umewezaje kunijudge kwa kuandika tu herufi ndogo
Mkuu, Mungu muumbaji hapangiwi la kufanya na Wala hajawahi kuwa mbaguzi kama binadamu wengi walivyo, Mawazo yake si kama yetu binadamu kusema Kwa nini Mungu kalifanya Taifa letu kuwa ni la watu wajinga na maskini

Hayo Ni Mawazo yetu na Wala hatuwezi kumpangia afanye nini kwetu na asifanye nini Kwa wengine

Mungu alikuumba akakupa kila kitu, amekuumba akakupa akili na nguvu za kufanya kazi, usipoitumia akili aliyokupa na nguvu zako kuzalisha utakufa unajiona,

Mungu aliwaumbia wanadamu utajiri uliopo aridhini, sasa ni wewe kutumia akiri zako kuzitumia malighafi hizo kuboresha maisha

Mkuu, Embu muombe Msamaha Huyo Mungu unayemsingizia kwamba hakupendi, Kama hakupendi, wasioona watasemaje, walemavu nao waseme nini, Je wasiokuwa na akiri (Vichaa) waseme nini?

Wewe unanguvu, Akiri ya utambuzi unayo, unalalamika nini Kwa Mungu aliyekuumba akakuacha mzimaaa na nguvu zako, usithubutu kumkufuru Mungu kisa upate sifa mtandaoni na Jf
 

Mimi natumia akili sio akiri. Hiyo akili inaniambia kua huyo mungu hayupo, wasioona wapo kwa sababu amewatengeneza hivyo? Hahaha si ndiyo upendeleo huo yaani mtoto anazaliwa kipofu alafu unasema tatizo la mtoto au dhambi ya mzazi, unampunish mtoto kwa tatizo la mwingine? Huyo mungu kweli hafai. Angekua neutral basi angalu kila mtu angekua anazaliwa sawa anaanza kujitafutia sio mtu unazaliwa na ulemavu hujafanya dhambi yoyote alafu unasema mungu anaplay fair hahaha fair my ass. Nenda kwanza kajifunze spelling alafu urudi. Hili tatizo la kuchanganya l na r, a na h naliona sana kwa watu wa dini.
 
Hongera sana askof Gwajima nimekusikia leo umesema kuwa kanisa lina mpango wa kujenga arenas ktk maeneo ya makurunge nje kidogo ya Jiji la DSM. Hilo ni wazo zuri kwa maendeleo ya kanisa
 
Halafu kuna watu wanagaragara mbele yake kabisa na wakitoka hapo wanaushuhudia ukuu wa Mungu ulivyowashukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utapeli tu kama wale wawekezaji hewa aliowaleta,hakuna Arena yoyote.
Hongera sana askof Gwajima nimekusikia leo umesema kuwa kanisa lina mpango wa kujenga arenas ktk maeneo ya makurunge nje kidogo ya Jiji la DSM. Hilo ni wazo zuri kwa maendeleo ya kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu huyo huyo unayemdharau ndo golden age ya wazungu walikua wanamtumikia na akawasaidia sana, na ndo wazungu wanawapelekea waafrika habari zake

Swali la kujiuliza kwa nin hasaidii waafrika Kama alivyofanya kwa wazungu, jibu ni rahisi Mungu anataka tutumie akili zetu na sio kwa miujiza

Tatizo lipo kwa watumishi Kama gwajima wameweka msisitizo kwenye miujiza na sio kwenye kutumia akili tatizo ndo lilipo anzia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…