Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Tuwekee majina yao hapaMbunge wa sasa wa Siha Godwin Molel ni Mmasai, Same, Mwanga, wabunge wake sio Wachaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee majina yao hapaMbunge wa sasa wa Siha Godwin Molel ni Mmasai, Same, Mwanga, wabunge wake sio Wachaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapanda Chopa bwashee!
Asante sana. Nakuombea udumu na kuzidi kumjua Mungu katika Kristo Yesu aliye Bwana na mkombozi kwa kila aaminiye. AmenNimekuelewa bwashee!
Sina dini kwa hiyo kuhisi nina abudu sanamu inaonyesha kabisa uwezo wako wa kufikiri limit yake. Umewezaje kunijudge kwa kuandika tu herufi ndogoUnahoja nzuri japo kuwa hukuwa unamaanisha Mungu/MUNGU, ulikuwa unamaanisha mungu, waabudu sanamu utawajua tu hata waspojitambulisha,
1. Sijakariri Biblia bali nimeelewa Biblia. Kukariri Biblia ni kujua mistari ya Biblia pasipo matokeo lakini kwangu mimi yale niliyosoma kwenye Biblia ninayaweka kwenye vitendo na matokeo yanatokea.Umekaririshwa Biblia wewe! Hivi unafikiri wanaokufa kufa kwa Korona wanadhambi kulko sisi ...! kWA HIYO UKIFA KWA MAGONJWA WEWE HUMTEGEMEI MUNGU....mBONA MAGONJWA NDIO VYANZO VYA VIFO VINGI DUNIANI!
Mkuu, Mungu muumbaji hapangiwi la kufanya na Wala hajawahi kuwa mbaguzi kama binadamu wengi walivyo, Mawazo yake si kama yetu binadamu kusema Kwa nini Mungu kalifanya Taifa letu kuwa ni la watu wajinga na maskiniSina dini kwa hiyo kuhisi nina abudu sanamu inaonyesha kabisa uwezo wako wa kufikiri limit yake. Umewezaje kunijudge kwa kuandika tu herufi ndogo
Mkuu, Mungu muumbaji hapangiwi la kufanya na Wala hajawahi kuwa mbaguzi kama binadamu wengi walivyo, Mawazo yake si kama yetu binadamu kusema Kwa nini Mungu kalifanya Taifa letu kuwa ni la watu wajinga na maskini
Hayo Ni Mawazo yetu na Wala hatuwezi kumpangia afanye nini kwetu na asifanye nini Kwa wengine
Mungu alikuumba akakupa kila kitu, amekuumba akakupa akili na nguvu za kufanya kazi, usipoitumia akili aliyokupa na nguvu zako kuzalisha utakufa unajiona,
Mungu aliwaumbia wanadamu utajiri uliopo aridhini, sasa ni wewe kutumia akiri zako kuzitumia malighafi hizo kuboresha maisha
Mkuu, Embu muombe Msamaha Huyo Mungu unayemsingizia kwamba hakupendi, Kama hakupendi, wasioona watasemaje, walemavu nao waseme nini, Je wasiokuwa na akiri (Vichaa) waseme nini?
Wewe unanguvu, Akiri ya utambuzi unayo, unalalamika nini Kwa Mungu aliyekuumba akakuacha mzimaaa na nguvu zako, usithubutu kumkufuru Mungu kisa upate sifa mtandaoni na Jf
Haitatokea bwashee!
Huyu dogo Gwajima ni mmoja wa wapotoshaji wakubwa sana hapa Tanzania, yeye na Zitto hawana tofauti sana. Sielewi mtu mwenye akili timamu anakaa na kumsikiliza huyu mtu na kuamini kila akisemacho.
Halafu kuna watu wanagaragara mbele yake kabisa na wakitoka hapo wanaushuhudia ukuu wa Mungu ulivyowashukia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania, tena Mungu ni zaidi ya sabuni, maji na vitakasa mikono.
Gwajima anasema Wasukuma siyo wakabila ndio maana Ilemela imewahi kuwa na mbunge mchaga na Nyamagana imewahi kuwa na mbunge Mjaluo mh Wenje.
Ngoma anauliza Askofu Gwajima aliwahi kusema Makonda ana nguvu isiyojulikana nyuma yake, je ameishaijua hiyo nguvu inatoka wapi?......Gwajima anasema Makonda ni past tense kwa sababu alishamsamehe na anamuombea pia.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa Moshi mjini sio mchaga
Huko ni upareni bwashee!Naghenjwa Kaboyoka
Naghenjwa Kaboyoka,Anne Kilango,Dr David Mathayo,Prof Jummane Maghembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana askof Gwajima nimekusikia leo umesema kuwa kanisa lina mpango wa kujenga arenas ktk maeneo ya makurunge nje kidogo ya Jiji la DSM. Hilo ni wazo zuri kwa maendeleo ya kanisa
Hahahaaaaa...........!
Mungu huyo huyo unayemdharau ndo golden age ya wazungu walikua wanamtumikia na akawasaidia sana, na ndo wazungu wanawapelekea waafrika habari zakeAhsante kwa angalau kujaribu kujibu, sasa ngoja nikuonyeshe tatizo lilipo kwenye point zako.
1. Umesema mungu ni mwenye neema na rehema kwa wanaompenda. Waafrika mnavyompenda huyo mungu leo hii mko wapi? mbona waovu wengi ndiyo wanatanua dunia hii wanaishi maisha mazuri kuliko wanaokaa kusali kila siku? Hiyo neema yake naona kashindwa kuionyesha, au ana neema ila hana nguvu?
2. Remission of sin kupitia yesu mhh, ndugu unasahau kuna dini zaidi ya 3,000 na ukristo peke yake ndiyo unaamini mambo ya yesu, nyingine zote hata hawana muda na huyo yesu, sasa unataka uniambie wanaoishi vizuri wote wanamuamini yesu? wasiomuamini je? look at the data.
3. Njaa magonjwa vita nii matokeo ya dhambi, hapa naweza ungana na wewe, njaa na vita tunaweza vitokomeza kabisa kama watu tungependana na kusaidiana, magonjwa hapana, hayo yapo tu biologically ipo siku yataibuka kutoka kwa wanyama au viumbe wengine yatatupata tutapambana nayo tu, hata tuwe wema kiasi gani magonjwa yatakuwepo tu, watu mnasali kila siku ila bado mnaugua.
4. Fix tu, wapo wanaomtumikia mungu 100% wanapigwa njaa wanakufa hawana furaha, wengi mno tusiende mbali we tazama watu wanaokuzunguka tu, ila wasiomtumikia huyo mungu wenu wanakula bata tu duniani mnawaona kwenye tv kila siku
5. Waafrika wanaongoza kwa kusali duniani kwa huyo mungu wenu, niambie nchi ya afrika ambayo imeponywa na huyo mungu hata moja.
6. Nilimuacha zamani sana, maisha yangu yameenda vizuri tokea kipindi hicho. Yaani ni mafanikio baada ya mafanikio, angalia tv wavuta bangi, watukana matusi ndiyo wanatawala dunia hii, wapo wenye tabia nzuri pia ila hawana muda na huyo mungu wala nini na wana maisha mazuri mno, turudi sasa kwa nyie mnaosema mnamshikilia, kila siku mnawaza kesho mtakula nini.
Mkuu unajua tatizo ni moja, ukiwa ndani ya kifungo cha dini yote haya huyaoni, nilikua huko mimi, nilikua nasali kila siku, kanisani sikosi, nimekuzwa kikristo toka utotoni na nilikua nina imani sana, ila the moment nilivyokua nikaanza kuquestion nikagundua yote ni upuuzi tu. Wanaomtegemea huyo mungu wengi madoro, vilaza (huoni waumini wa gwajiima walivyo?). Shida tupu