Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima
Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.
Character ya true prophet ni pamoja na kusimamia unachoamini ni sahihi hata kwa gharama ya maisha yako... Wale wengine wanacheza mziki kadiri ya mdundo wa bi mkubwa.
Character ya true prophet ni pamoja na kusimamia unachoamini ni sahihi hata kwa gharama ya maisha yako... Wale wengine wanacheza mziki kadiri ya mdundo wa bi mkubwa.
Tukichanjwa wote Hatutaambukizwa ? ... Hapana bado unaweza Ambukizwa
Nikichanjwa Je niache kuvaa Mask?.. Unavaa Mask
Nikichanja naweza kuendelea na maisha ya kawaida?... Hapana
Nikichanjwa sitaambukizwa?.. Unaweza ambukizwa
Sasa kuchanja kunanisaidia Nini?.. Nyie mnakazania tu Chanjo hazina madhara ni Salama.
Hakuna dawa ya Corona mpaka Sasa, atatibiwa na dozi gani?.. By the way, kwa hayo majibu yako kweli unaelewa maana halisi ya chanjo(vaccine)!?.. ingia Google uongeze ujuzi halafu urudi ujibu hoja za Gwajima.