Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Sasa ARV wanywaji wamezihakikisha??Akili zinaniambia kwamba si lazima umuamini Gwajima 100%,ila kwa mtu mjanja na mwenye akili,hii inakuwa base for searching the actual truth.Usiamini kitu bila wewe mwenye kukihakikiaha.
Hizo chanjo zingine kina mama wanaopeleka watoto clinic wamezihakikisha??
Yellow fever, hepatitis e.t.c vaccination??
Dawa na madrip na masindano wagonjwa wanazihakikisha??
Je, zile dawa za kina dada za kuzuia mimba, kitanzi, vijiti, sijui vidonge, nani kavihakikisha??
Kumekuwa na hype, madaktari na wataalam wa VIRUS, hawasikilizwi, ila waliodandia fani, wanatafuta political mileage na followers kwa kasi ya upotoshaji ya ajabu.
Everyday is Saturday............................... 😎