#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

Akili zinaniambia kwamba si lazima umuamini Gwajima 100%,ila kwa mtu mjanja na mwenye akili,hii inakuwa base for searching the actual truth.Usiamini kitu bila wewe mwenye kukihakikiaha.
Sasa ARV wanywaji wamezihakikisha??

Hizo chanjo zingine kina mama wanaopeleka watoto clinic wamezihakikisha??

Yellow fever, hepatitis e.t.c vaccination??

Dawa na madrip na masindano wagonjwa wanazihakikisha??

Je, zile dawa za kina dada za kuzuia mimba, kitanzi, vijiti, sijui vidonge, nani kavihakikisha??

Kumekuwa na hype, madaktari na wataalam wa VIRUS, hawasikilizwi, ila waliodandia fani, wanatafuta political mileage na followers kwa kasi ya upotoshaji ya ajabu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hii ni debate wanaotaka chanjo vs wasiotaka chanjo.

hakuna anayekushawishi, watu wenye maono na uelewa mkubwa wanatoa hoja sisi audience tunaamua as long as una akili timamu ya kun'gamua.

binafsi sitaki chanjo na sio kwasababu Gwajima kaongea Mimi sipatani na tiba za hospitali mara zote najitibu mwenyewe.
Kama Gwajima hataki basi hana haja ya kupotosha kuwa viongozi wamehongwa ili wakubali kuchanjwa. Kwa nini asikubali kuwa kila mmoja ikiwemo na viongozi ana haki ya kuamua ama kuchanjwa au la?
 
Ki
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake

VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona

View attachment 1874169

Kinachomsaidia asiwe Polish sasa Jovi ni UCCM wake

Hizi tuhuma anaweza kuzithibitisha? Kwani lazima azushe tuhuma za uongo ili kuwashawishi watu wasichanje?
 
Kama Gwajima hataki basi hana haja ya kupotosha kuwa viongozi wamehongwa ili wakubali kuchanjwa. Kwa nini asikubali kuwa kila mmoja ikiwemo na viongozi ana haki ya kuamua ama kuchanjwa au la?
Hapo upo sahihi.
 
Gwajiboy on fire[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222] Vyuma vinazidi kuumana;
 
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake

VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona

View attachment 1874169

NAONA MPAKA SEMINA IISHE SADAKA ZA KUMWAGA KESHO LAZIMA NIKAMSIKILIZE MOG(MANOFGOD)
 
Wanasema aliyechanjwa ni rahisi kutibiwa akipata maambukizi kuliko ambaye hajachanjwa .
Chanjoo ya nn kama una uwexoo wa kuambukixwa ukapata
rebeca napita
 
Na Mwenyezi Mungu alivyo wa ajabu inawezekana huu ndio ukawa mlango wa kuliumbulia hili Tapeli ! Lilisema linafufua wafu na misukule mbona alishindwa kumfufua Rais Magufuli!
Eti bado lina wasikilizaji! Mungu wa kweli anakwenda kuliua na Corona hili chizi ili uongo na utapeli wake udhihirike!
Una mpangia Mungu,maajabu ya Mungu huenda anaanza na wewe.
 
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake

VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona

View attachment 1874169

HUYU MASTER ALIWAHI KUTAMKA SHEHE MMOJA UTAKWENDA NAKWAMBIA PAMBANA NANGWAJY UONE..MIIEZi 3 mingi tulizika...

Aliwahiii kumtamkiaa ASKOFU Mmoja utakwendaaaa dah Yule ASKOFU aliponea nje ya NCHI wallahi naamini anasoma habare za gwajy dk ...

Mini napita TU akitamka mnaompingaaa mtakufaaa anzaa KUTUBU Kama vipiii

#andikaaanaurithiikabisaaaaaaushauriii
 
UVV NNINI SIJUII YAA. WANGEYAMALIZA KICHAMA MAMBOYAO LAKN KUKIMBILIA PRESS UPAMBANE NA DK..ANAKUJIBU KAMA SIO JPILI ANAKUTENGENEZEA SEMINA MAALUM LAZIMA MWANA KULIGT MWANA KULIFIND
 
Tangu nilipomuona yule daktari bingwa yule wa kike, Doctor Swai akieleza juu ya chanjo TBC , nilibaki mdomo wazi kwanini Gwajima aitwe mpotoshaji wakati na daktari aliongea Yale yale.

Mwenye hiyo clip anaweza iweka.Maana tunataka kuujua ukweli ili tuamue vizuri bila mihemuko Wala shinikizo.
Mkuuu ndiooo namm naitafutaa nieeke humuu SEMA dk angejibu haya JPILI KWA JPILI INANOGA TUNAACHA ROMAN TUNAKUTA MSIKILIZA HII ZA WEEKDAYS MOVIE ITAISHA MAPEMA DK
 
Gwajima yuko sahihi,watuletee facts,sio mbwembwe na talalila za mabenberu,or else wanyamaze.

Watuambie hiyo chanjo ina nini,hiyo ni muhimu sana.

Siku kumi na sita za kamati zisingetosha kutoa majibu sahihi kuhusu chanjo,ni udanganyifu.
NA KWANINI HAIKURUHUSIWA 2019
Iweje leo???
 
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake

VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona

View attachment 1874169

Mtumishi gani anaomba watu wafe ?Yeye ataishi milele ?Stupid Gwajima.
 
Mkuuu ndiooo namm naitafutaa nieeke humuu SEMA dk angejibu haya JPILI KWA JPILI INANOGA TUNAACHA ROMAN TUNAKUTA MSIKILIZA HII ZA WEEKDAYS MOVIE ITAISHA MAPEMA DK
😂😂😂😂
 
naona anaanza kuhamisha goli taratiibu, imeshakuwa chanjo feki tena..

Gwajima Mzee wa Kanisa la uzima na ufufuo, alianza kujipatia umaarufu pale aliposema anauwezo wa kumfufua marehemu Bi Amina Chifupa wa Mpakanjia mpaka leo tunasubiri kuona huo ufufuo.... Mnaohudhuria Kanisa kwake mmeshawahi kushuhudia ufufuo wowote hapo kwa wapendwa wetu....
 
Mtumishi gani anaomba watu wafe ?Yeye ataishi milele ?Stupid Gwajima.
Wewe ndio haujamsikiliza Vizuri,amesema tangu wimbi la kwanza mpaka sasahivi ni la 3,kwakwe hata Kuku ajadondoka hata kwa mdondo,sanasana kuna wagonjwa wa corona kutoka Temeke walipokimbilia kwakwe akawaombea wakapona.Sasa Wewe unasema kuna watu anataka kuwaua,kwa utafiti upi?
 
Back
Top Bottom