#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

🤧Ki

Kinachomsaidia asiwe Polish sasa Jovi ni UCCM wake

Hizi tuhuma anaweza kuzithibitisha? Kwani lazima azushe tuhuma za uongo ili kuwashawishi watu wasichanje?
WATANZANIA HUYU KATUMWA KUTUHAMISHA FOCUS, HATUONGELEI TENA TOZO ZA MIAMALA...

BASHITE STYLE.

MJADALA KAUHAMISHIA KWAKE....

HII NI POLITICAL SPIN! TOZO TUMEZISAHAU

Everyday is Saturday............................. šŸ˜Ž
 
HUYU MASTER ALIWAHI KUTAMKA SHEHE MMOJA UTAKWENDA NAKWAMBIA PAMBANA NANGWAJY UONE..MIIEZi 3 mingi tulizika...

Aliwahiii kumtamkiaa ASKOFU Mmoja utakwendaaaa dah Yule ASKOFU aliponea nje ya NCHI wallahi naamini anasoma habare za gwajy dk ...

Mini napita TU akitamka mnaompingaaa mtakufaaa anzaa KUTUBU Kama vipiii

#andikaaanaurithiikabisaaaaaaushauriii
Alitamka kuwa atamfuta Bashite kwenye Ulingo wa siasa. Dah! ...
 
Alitamka kuwa atamfuta Bashite kwenye Ulingo wa siasa. Dah!

NILISAHAU mpwaa yaan namwogopa Sana nawaangalia wanaokimbizqna nae vid nasave kabisa kumbukumbu

Alikemeaa ilee uganga wa loliondo ziiii
 
WATANZANIA HUYU KATUMWA KUTUHAMISHA FOCUS, HATUONGELEI TENA TOZO ZA MIAMALA...

BASHITE STYLE.

MJADALA KAUHAMISHIA KWAKE....

HII NI POLITICAL SPIN! TOZO TUMEZISAHAU

Everyday is Saturday............................. šŸ˜Ž
TOZO IPI UJASIKIA WAKIAPISHWA WH
ZIKOPALEPALE N SWALA.LA.KUBORESHA RELAX MKUU
STY SAFE
VAAABARAKOA
NAWAMIKONO
 
1.Kasema Serikali ilazimishe watu wote kuchanjwa. Ni kinyume na katiba.

2.Kalazimisha kudai katiba wakati ameambiwa atulie kwanza tujenge uchumi
Huko sio kupotosha kwa mtizamo wangu hio ni freedom of speech inayolindwa na Katiba inaruhusiwa kutoa maoni yako na kuishauri Serikali pamoja na kukosoa kwa staha

Kongamano la kudai Katiba mpya lilifanyika Dar na sikuona madhara yoyote kwanini lilipofanyika Mwanza ndio likawa la Kigaidi?

Kufanya Mongamano ndani ya Hoteli na Wageni waalilwa ambao hawafiki 60 kuna madhara gani?
 
Gwajima ana 'watu' jamani,yaani anapimana nguvu na Samia na anaelekea kushinda hili pambano. Gwajima kanyagia hapo hapo CCM hawakuwezi.
 
Tukichanjwa wote Hatutaambukizwa ? ... Hapana bado unaweza Ambukizwa
Nikichanjwa Je niache kuvaa Mask?.. Unavaa Mask
Nikichanja naweza kuendelea na maisha ya kawaida?... Hapana
Nikichanjwa sitaambukizwa?.. Unaweza ambukizwa

Sasa kuchanja kunanisaidia Nini?.. Nyie mnakazania tu Chanjo hazina madhara ni Salama.

Chanjo inasaidia kupunguza maambukizi na makali ya athari za virusi vya Korona. Vilevile, kadiri virusi vinavyoendelea kusambaa na kuwepo duniani ndio vinazidi kupata mwanya wa kujibadilisha.

Hata ugonjwa wa TB. Unapopata chanjo dhidi ya TB, unapunguza uwezekano wa kuambukizwa kwa asilimia 20. Lakini bado chanjo inashauriwa, hasa kama kinga yako ya mwili inaruhusu.
 
Huko sio kupotosha kwa mtizamo wangu hio ni freedom of speech inayolindwa na Katiba inaruhusiwa kutoa maoni yako na kuishauri Serikali pamoja na kukosoa kwa staha

Kongamano la kudai Katiba mpya lilifanyika Dar na sikuona madhara yoyote kwanini lilipofanyika Mwanza ndio likawa la Kigaidi?

Kufanya Mongamano ndani ya Hoteli na Wageni waalilwa ambao hawafiki 60 kuna madhara gani?
Kwa nini anaposema gwajima kuhusu madhara ya chanjo iwe anapotosha na so freedom of speech? Si serikali imesema hiyari? Na pia si kuna side effects? Na katiba si inasema ni hiyari? Kwa nini Mbowe alisema iwe lazima? Je hakuvunja sheria? Twende kwa logic tu
 
Wewe umefanya tafiti ipi kuwa chanjo hiyo ni real? Umekaririshwa? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Nataka tujenge hoja. Siyo ushabiki maana ccm wenzangu mnaniangusha sana.
 
naona anaanza kuhamisha goli taratiibu, imeshakuwa chanjo feki tena..

Gwajima Mzee wa Kanisa la uzima na ufufuo, alianza kujipatia umaarufu pale aliposema anauwezo wa kumfufua marehemu Bi Amina Chifupa wa Mpakanjia mpaka leo tunasubiri kuona huo ufufuo.... Mnaohudhuria Kanisa kwake mmeshawahi kushuhudia ufufuo wowote hapo kwa wapendwa wetu....
Huyu binti "alifufuliwa"😊
 
Gwajima ana 'watu' jamani,yaani anapimana nguvu na Samia na anaelekea kushinda hili pambano. Gwajima kanyagia hapo hapo CCM hawakuwezi.
Gwajima 2025 atangaze nia, atachukua nchi asubuhi, atakuwa Rais wa kwanza askofu nchini...au nasema uongo ndugu zangu ? šŸƒā€ā™‚ļøšŸƒā€ā™‚ļøšŸƒā€ā™‚ļø
 
Yeye keshachagua fungu lake la kutokuchanjwa aache kushawishi watu wengine wasichanjwe. Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
kiongozi wa dini, au mtu wa mungu akijua jambo la manufaa kwa watu wake lazima awaambie. unamwambia mtu achanje ni lini umempatia elimu ya faida na hasara za chanjo, na atakayewajibika/kutowajibika (disclaimer) na matokeo baada ya chanjo! ? kupotosha nn, kuchanja c. lazma, habari za kufa hazijaanza na koviko.
 
HUYU MASTER ALIWAHI KUTAMKA SHEHE MMOJA UTAKWENDA NAKWAMBIA PAMBANA NANGWAJY UONE..MIIEZi 3 mingi tulizika...

Aliwahiii kumtamkiaa ASKOFU Mmoja utakwendaaaa dah Yule ASKOFU aliponea nje ya NCHI wallahi naamini anasoma habare za gwajy dk ...

Mini napita TU akitamka mnaompingaaa mtakufaaa anzaa KUTUBU Kama vipiii

#andikaaanaurithiikabisaaaaaaushauriii
Usitutishe, kwa hili, ni Kama saa mbovu, Kama imekwamia saa kumi, basi, Kila saa kumi itakua sahihi.

Gwaji by ana wide knowledge, hata mimi kwa hili naungana Naye, science ana zero basics, Ila ana talent ya science eloquence.

Kwakifupi, aliyoyasema kwa consumption ya scienciantst lay man ni balanced diet.

Kwa scientist, ni alarm, but encouragement kwa wanao politicize scientific orocedures.
 
Hii ni debate wanaotaka chanjo vs wasiotaka chanjo.

hakuna anayekushawishi, watu wenye maono na uelewa mkubwa wanatoa hoja sisi audience tunaamua as long as una akili timamu ya kun'gamua.

binafsi sitaki chanjo na sio kwasababu Gwajima kaongea Mimi sipatani na tiba za hospitali mara zote najitibu mwenyewe.
Electromagnetic effect itaua sana watu ambao hawajachanjwa

Be careful
 
Chanjo inasaidia kupunguza maambukizi na makali ya athari za virusi vya Korona. Vilevile, kadiri virusi vinavyoendelea kusambaa na kuwepo duniani ndio vinazidi kupata mwanya wa kujibadilisha.

Hata ugonjwa wa TB. Unapopata chanjo dhidi ya TB, unapunguza uwezekano wa kuambukizwa kwa asilimia 20. Lakini bado chanjo inashauriwa, hasa kama kinga yako ya mwili inaruhusu.
Hii mtakuja kuelewa baadaye Sana maana electromagnetic itatumiwa kutoka kwenye miili ya watu waliochanjwa kufanya mauaji Kwa watu ambao hawajachanjwa

Soon magufuli atakumbukwa
 
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake

VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona

View attachment 1874169

Ni uwongo dhahiri. Hajafanya interview na madaktari mabingwa wakuu duniani. Anasema tu, hawezi kutaja majina yao. Bwana tamasha. Mtupu.
 
Back
Top Bottom