Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake.
Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa.
Maombi yanaendelea kanisani kesho.
Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.πππππππ
Mtu ajaribu, huyo jamaa kwa maombi tunaweza kumpoteza mwingine kwenye ulimwengu wa siasa mwaka huu. ππππππππ