PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Definition ya Vurugu ?

Ukiniuliza mimi waliofanya vurugu ni wale wenye itchy fingers walioshoot ndugu zetu as well as wale walio-defy logic kwa kuleta matokeo ya Kura ambayo hata Julius Kambarage alishindwa kuyapata...
 
wafanyakazi wa jamii forum mnafanya kazi gani? Futeni huu Upumbavu Uzi wowote wa kidini futeni
 
Umemuelewa Bishop Ikongo?

Bishop gani huyo. Mhuni tu mwingine yupo kazini.

Tuassume ni kweli anayosema. Mbona hajazungumzia yale maelekezo yaliyotolewa na vyombo vya dola na serikali yalikuwa yanamlenga nani. Afande Mliro alisema wazi kuwa watakaotoka watauawa na hilo limetokea. Maza aliviandaa vikosi for almost mwaka mzima .... Mafwele amerekodiwa akiwapanga maaskari wake. Viongozi kazaa wa CCM wamezungumza hadhalani kuhusu ambayo yangetokea kama watu wangetoka.

Hizi propaganda UCHWARA hazitatusaidia lolote zaidi ya hao watu wachache wanaong'ang'ania madaraka.
 
Kwahiyo Bishops ni wale wa TEC pekee? Kwikwikwikwikwikwi
 
Poor me, niliwahi kulaani waliomtendea uovu kumbe ndio maisha yake.
 
Mtumishi wa Mungu, Askofu Ikongo yuko sahihi kabisa.TEC imejaa wahuni wengi.
 
Back
Top Bottom