Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,861 Reaction score 2,388 Nov 18, 2025 #21 MamaSamia2025 said: Mtumishi wa Mungu, Askofu Ikongo yuko sahihi kabisa.TEC imejaa wahuni wengi. Click to expand... Tec ndiyo waliowauwa maelfu ya watanganyika oct 29?
MamaSamia2025 said: Mtumishi wa Mungu, Askofu Ikongo yuko sahihi kabisa.TEC imejaa wahuni wengi. Click to expand... Tec ndiyo waliowauwa maelfu ya watanganyika oct 29?
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,343 Reaction score 5,589 Nov 18, 2025 #22 Ukweli humuacha mtu huru, abarikiwe askofu kwa kusema ukweli mtupu!
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,343 Reaction score 5,589 Nov 18, 2025 #23 Nyanje said: Tec ndiyo waliowauwa maelfu ya watanganyika oct 29? Click to expand... Ndio, kwani hujui wao ndio walioratibu vurugu, uhalifu na ugaidi
Nyanje said: Tec ndiyo waliowauwa maelfu ya watanganyika oct 29? Click to expand... Ndio, kwani hujui wao ndio walioratibu vurugu, uhalifu na ugaidi
Ndondombi Mulin JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 820 Reaction score 3,618 Nov 18, 2025 #24 Huyo mchungaji madogo wa Gen Z watamuanika kwenye JUA, wamuharibu ngozi. Kwenye nyakati kama hizi, ukiona huwezi kuungana na wanaoteswa ni bora unyamaze kimya. Lolote linaweza tokea kwenye hii nchi.
Huyo mchungaji madogo wa Gen Z watamuanika kwenye JUA, wamuharibu ngozi. Kwenye nyakati kama hizi, ukiona huwezi kuungana na wanaoteswa ni bora unyamaze kimya. Lolote linaweza tokea kwenye hii nchi.