PreGE2025 Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican: Watu wanatekwa, wanauliwa na kuvamiwa. Wote wanaofanya hayo wanapora mamlaka ya Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa mbinguni

Askofu Jackson ametoa onyo hilo kwenye misa ya Msiba wa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Charles Hillary

Askofu Jackson amesema haki ya kutupa uhai na kuuondoa ni ya Mungu wa mbinguni pekee na wale wote wanaoua wenzao, hukumu ya moto inawasubiri

Ibada hiyo imehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila na viongozi waandamizi wa serikali na vyama vya Siasa nchini

Source: Global tv
 
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali Watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko Siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa mbinguni

Askofu Jackson ametoa onyo hilo kwenye misa ya Msimbazi wa Msemaji mkuu wa serikali ya Zanzibar Charles Hilal

Askofu Jackson amesema Haki ya Kutupa Uhai na kuuondoa ni ya Mungu wa mbinguni pekee na wale wote wanaouwa wenzao hukumu ya Moto inawasubiri

Ibada hiyo imehudhuriwa na RC DSM mh Albert Chalamila na viongozi waandamizi wa serikali na Vyama vya Siasa nchini

Source: Global tv
Tanzania unamuona binadamu ,(ndugu na jamaa), anaumizwa, kujeruhiwa na kutekwa tunaambiwa na CCM huyo ameenda kujificha

Kama angelikuwa anatamani kujificha waliomteka hawangempata
 
VIJANA wa CCM-CHINJACHINJA wananatenda hayo kwa kuwa wana mamlaka hayo.
 
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa mbinguni

Askofu Jackson ametoa onyo hilo kwenye misa ya Msiba wa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Charles Hillary

Askofu Jackson amesema haki ya kutupa uhai na kuuondoa ni ya Mungu wa mbinguni pekee na wale wote wanaoua wenzao, hukumu ya moto inawasubiri

Ibada hiyo imehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila na viongozi waandamizi wa serikali na vyama vya Siasa nchini

Source: Global tv
Kama ni wale waliotajwa Mbeya sijui kama watamsikia, wakimsikia sijui kama watamuelewa, wakimuelewa sijui kama wataacha maana mtu akiisha zoea kula nyama ya mtu ni vigumu kuacha
 
Dah kumbe Charles Hillary amefariki!? Sikuwa na taarifa

Apumzike kwa amani.
 
Yaani kuna viongozi humu Tanzania suala la kumtoa mtu uhai kwao ni kawaida utafikiri wao ndio watowao huo uhai ni mali yao.na baadae unaliona liko kanisani ama msikitini eti linasali
 
Shetani ameweka makao yake ya kudumu ndani ya CCM. CCM imeamua kuwa wakala mwaminifu wa shetani.

Hakuna mwenye Roho wa Mungu, kwa matendo ambayo CCM inafanya kwa sasa, anaweza kubakia CCM.
 
Kanisa liitishe tume maalumu ya uchunguzi kuchunguza waliotekwa na kuuwawa Kwa nyakati zote pengine itasaidia angalau.
 
Mamlaka zinazopaswa kutulinda ndiyo zinazotuangamiza.
 
Back
Top Bottom